Makonda asipokonda basi ataishia Makondeko

Tutofautishe nyakati
Tutofautishe nguvu
Tutofautishe ubabe
Tutofautishe uthubutu
Tutofautishe nafasi za kimamlaka serikalini na kwenye chama cha siasa

Ukatibu mwenezi wa chama ni tofauti kabisa na u DC ama u RC.. Ukiwa DC wewe ndio rais wa wilaya.. Yaani kiwilaya hakuna mamlaka mengine ya juu zaidi
Ukiwa RC wewe ndio rais wa mkoa hakuna nafasi ya juu zaidi kimkoa kuzidi hiyo.. Vyombo vyote vya ulinzi na usalama viko chini yako na una amri ya kimamlaka juu yao
Ukiwa katibu mwenezi wa chama huna madaraka ya kimamlaka na cycle ya watu inayowajibika kwako ni ndogo sana.. Na huna say ya mwisho kwenye lolote.. Ni lazima upokee maagizo kutoka juu
Kwenye hiyo nafasi ya kichama hakuna kamati ya usalama yenye kukusikiliza wewe ..na huna uwezo wa kusweka watu ndani utakavyo!

Makonda alipaishwa kipindi cha mkono wa chuma usioogopa kitu naye akapaa na kuenea vema.. Maguvu na ubabe bila staha kwa mkubwa wala mdogo ndio vilikuwa hobby yake! Alijisikia furaha sana,kudhalilisha yeyote kutokana na madaraka ya kimamlaka aliyokuwa nayo

Sasa hizi ni nyakati tofauti sana na zile.. Na nafasi aliyonayo haina nguvu ya kuamrisha kama zile nyingine... Na kibaya zaidi ndani ya chama kuna mipasuko kama ardhi ya kiangazi.. Huko hakuna ubabe na kuamrisha.. Na kuteuliwa kwake kumezidisha mipasuko.. Kwahiyo ni mwendo wa mitifuano nyuma ya zulia na mitafutano...

Mpaka hapo keshapwaya pakubwa.. Badala ya kung'ara na kuwika anaweza kufunikwa na wanazi wa chama asisikike wala asifurukute kabisa.. Kwakuwa hata ndani ya chama ana maadui wa kutosha sana!

Kitakachomuokoa labda awe kawekwa hapo kwa muda ili kusoma upepo kabla hajapewa nafasi inayoendana na kaliba yake ya kupayuka, kudhalilisha na kutumia maguvu hata panapohitaji diplomasia

Akiachwa hapo atakonda mpaka atapepesuka mwisho tukamuokote MakondekoView attachment 2793723

Sent using Jamii Forums mobile app
😆😆😆😆
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ni wakati wake lakini je huo ukali ni positive au ni negative?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kuwa waganga ni kawaida yao kuangalia mananzili yanasemaje kuhusiana na mtu husika kwa huyu naomba tuweke pembeni elimu falaq apewe miezi ndio watu warudi kumjadili sio kwamba nimekwepa swali lako ila tuliwache kwanza!
 
Tutofautishe nyakati
Tutofautishe nguvu
Tutofautishe ubabe
Tutofautishe uthubutu
Tutofautishe nafasi za kimamlaka serikalini na kwenye chama cha siasa

Ukatibu mwenezi wa chama ni tofauti kabisa na u DC ama u RC.. Ukiwa DC wewe ndio rais wa wilaya.. Yaani kiwilaya hakuna mamlaka mengine ya juu zaidi
Ukiwa RC wewe ndio rais wa mkoa hakuna nafasi ya juu zaidi kimkoa kuzidi hiyo.. Vyombo vyote vya ulinzi na usalama viko chini yako na una amri ya kimamlaka juu yao
Ukiwa katibu mwenezi wa chama huna madaraka ya kimamlaka na cycle ya watu inayowajibika kwako ni ndogo sana.. Na huna say ya mwisho kwenye lolote.. Ni lazima upokee maagizo kutoka juu
Kwenye hiyo nafasi ya kichama hakuna kamati ya usalama yenye kukusikiliza wewe ..na huna uwezo wa kusweka watu ndani utakavyo!

Makonda alipaishwa kipindi cha mkono wa chuma usioogopa kitu naye akapaa na kuenea vema.. Maguvu na ubabe bila staha kwa mkubwa wala mdogo ndio vilikuwa hobby yake! Alijisikia furaha sana,kudhalilisha yeyote kutokana na madaraka ya kimamlaka aliyokuwa nayo

Sasa hizi ni nyakati tofauti sana na zile.. Na nafasi aliyonayo haina nguvu ya kuamrisha kama zile nyingine... Na kibaya zaidi ndani ya chama kuna mipasuko kama ardhi ya kiangazi.. Huko hakuna ubabe na kuamrisha.. Na kuteuliwa kwake kumezidisha mipasuko.. Kwahiyo ni mwendo wa mitifuano nyuma ya zulia na mitafutano...

Mpaka hapo keshapwaya pakubwa.. Badala ya kung'ara na kuwika anaweza kufunikwa na wanazi wa chama asisikike wala asifurukute kabisa.. Kwakuwa hata ndani ya chama ana maadui wa kutosha sana!

Kitakachomuokoa labda awe kawekwa hapo kwa muda ili kusoma upepo kabla hajapewa nafasi inayoendana na kaliba yake ya kupayuka, kudhalilisha na kutumia maguvu hata panapohitaji diplomasia

Akiachwa hapo atakonda mpaka atapepesuka mwisho tukamuokote MakondekoView attachment 2793723

Sent using Jamii Forums mobile app
Usiyempenda kaja 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Hahahaa
 
Vita vya Panzi furaha Kwa kunguru.
Mama ana sambaratisha makundi kiintelijesia hapa,
Kwa yeye mzanzibari makundi ya Tanganyika Hana faida nayo na za ndani zaidi ni kama vile anatekeleza protocol ya IMF kuwa nchi lazima ikabidhiwe upinzani by All means Necessary.
Makubwa haya
 
unambia hata kamanda wa anga hana hamu..kifupi ukikutana na jamaa wa chadema toka jumapili iliyopita ni kama wehu flani ivi
 
Ndio sasa tunaondoka hapa Lumumba. Kwa kweli leo ilikuwa ni siku ya furaha sana kwetu wananchi. Ni kama tumemuona JPM tena.
[emoji23][emoji23][emoji23]
JamiiForums-1985795145.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tutofautishe nyakati
Tutofautishe nguvu
Tutofautishe ubabe
Tutofautishe uthubutu
Tutofautishe nafasi za kimamlaka serikalini na kwenye chama cha siasa

Ukatibu mwenezi wa chama ni tofauti kabisa na u DC ama u RC.. Ukiwa DC wewe ndio rais wa wilaya.. Yaani kiwilaya hakuna mamlaka mengine ya juu zaidi
Ukiwa RC wewe ndio rais wa mkoa hakuna nafasi ya juu zaidi kimkoa kuzidi hiyo.. Vyombo vyote vya ulinzi na usalama viko chini yako na una amri ya kimamlaka juu yao
Ukiwa katibu mwenezi wa chama huna madaraka ya kimamlaka na cycle ya watu inayowajibika kwako ni ndogo sana.. Na huna say ya mwisho kwenye lolote.. Ni lazima upokee maagizo kutoka juu
Kwenye hiyo nafasi ya kichama hakuna kamati ya usalama yenye kukusikiliza wewe ..na huna uwezo wa kusweka watu ndani utakavyo!

Makonda alipaishwa kipindi cha mkono wa chuma usioogopa kitu naye akapaa na kuenea vema.. Maguvu na ubabe bila staha kwa mkubwa wala mdogo ndio vilikuwa hobby yake! Alijisikia furaha sana,kudhalilisha yeyote kutokana na madaraka ya kimamlaka aliyokuwa nayo

Sasa hizi ni nyakati tofauti sana na zile.. Na nafasi aliyonayo haina nguvu ya kuamrisha kama zile nyingine... Na kibaya zaidi ndani ya chama kuna mipasuko kama ardhi ya kiangazi.. Huko hakuna ubabe na kuamrisha.. Na kuteuliwa kwake kumezidisha mipasuko.. Kwahiyo ni mwendo wa mitifuano nyuma ya zulia na mitafutano...

Mpaka hapo keshapwaya pakubwa.. Badala ya kung'ara na kuwika anaweza kufunikwa na wanazi wa chama asisikike wala asifurukute kabisa.. Kwakuwa hata ndani ya chama ana maadui wa kutosha sana!

Kitakachomuokoa labda awe kawekwa hapo kwa muda ili kusoma upepo kabla hajapewa nafasi inayoendana na kaliba yake ya kupayuka, kudhalilisha na kutumia maguvu hata panapohitaji diplomasia

Akiachwa hapo atakonda mpaka atapepesuka mwisho tukamuokote MakondekoView attachment 2793723

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana na hoja yako kwa upande mwingine
 
Sijui walifikilia nini
 
Back
Top Bottom