Katibu Mwenezi Ndugu Paul Makonda amtembelea
Mwadhama Kardinali Pengo Nyumbani kwake.
Lengo ni kumjulia hali na zaidi kuchota Hekima na
Busara mbali na hayo!
Kubwa zaidi ni Kujikabidhi Mbele za Viongozi wa Dini ili
nao wamuombee na Kumtakia Mema zaidi katika
utendaji kazi wake kwa nafasi hi ya Ukatibu Wenezi wa
Chama cha Mapinduzi.
View: https://youtu.be/yiydu8e3Yxo?si=1Qf4V9wqHjsY7Z-i
View attachment 2824935
View attachment 2824936
View attachment 2824937
View attachment 2824938
Mnafiq mkubwa!