Malaika Gabrieli
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 3,625
- 6,868
kuna maana kubwa sana hapa, ...
Unafiki. Uteke watu, uue halafu uende kuwaona viongozi wa dini. Huko ni kuwadhihaki viongozi wa dini.
Katibu Mwenezi Ndugu Paul Makonda amtembelea
Mwadhama Kardinali Pengo Nyumbani kwake.
Lengo ni kumjulia hali na zaidi kuchota Hekima na
Busara mbali na hayo!
Kubwa zaidi ni Kujikabidhi Mbele za Viongozi wa Dini ili
nao wamuombee na Kumtakia Mema zaidi katika
utendaji kazi wake kwa nafasi hi ya Ukatibu Wenezi wa
Chama cha Mapinduzi.
View: https://youtu.be/yiydu8e3Yxo?si=1Qf4V9wqHjsY7Z-i
View attachment 2824935
View attachment 2824936
View attachment 2824937
View attachment 2824938

Aje akili na kutubu kw jamii huko kwingine hatokaa apate amaniMungu amtangulie kijana wake Paul C. Makonda,
Amin.
HahahaaAnaongezewa mapepo tu
Katibu Mwenezi Ndugu Paul Makonda amtembelea
Mwadhama Kardinali Pengo Nyumbani kwake.
Lengo ni kumjulia hali na zaidi kuchota Hekima na
Busara mbali na hayo!
Kubwa zaidi ni Kujikabidhi Mbele za Viongozi wa Dini ili
nao wamuombee na Kumtakia Mema zaidi katika
utendaji kazi wake kwa nafasi hi ya Ukatibu Wenezi wa
Chama cha Mapinduzi.
View: https://youtu.be/yiydu8e3Yxo?si=1Qf4V9wqHjsY7Z-i
View attachment 2824935
View attachment 2824936
View attachment 2824937
View attachment 2824938
Dini na siasa kwa wapinzani ila kwa kijani ni sawa tu.Kanisa Moja Takatifu La Mitume 😀
Katibu Mwenezi Ndugu Paul Makonda amtembelea
Mwadhama Kardinali Pengo Nyumbani kwake.
Lengo ni kumjulia hali na zaidi kuchota Hekima na
Busara mbali na hayo!
Kubwa zaidi ni Kujikabidhi Mbele za Viongozi wa Dini ili
nao wamuombee na Kumtakia Mema zaidi katika
utendaji kazi wake kwa nafasi hi ya Ukatibu Wenezi wa
Chama cha Mapinduzi.
View: https://youtu.be/yiydu8e3Yxo?si=1Qf4V9wqHjsY7Z-i
View attachment 2824935
View attachment 2824936
View attachment 2824937
View attachment 2824938
Uteuzi utaulinganisha na imani? Kama wewe uko hivyo basi imani yako ni feki.Tuna viongozi ambao wanawatukuza viongozi wao wa dini kuliko viongozi waliowateua
Katibu Mwenezi Ndugu Paul Makonda amtembelea
Mwadhama Kardinali Pengo Nyumbani kwake.
Lengo ni kumjulia hali na zaidi kuchota Hekima na
Busara mbali na hayo!
Kubwa zaidi ni Kujikabidhi Mbele za Viongozi wa Dini ili
nao wamuombee na Kumtakia Mema zaidi katika
utendaji kazi wake kwa nafasi hi ya Ukatibu Wenezi wa
Chama cha Mapinduzi.
View: https://youtu.be/yiydu8e3Yxo?si=1Qf4V9wqHjsY7Z-i
View attachment 2824935
View attachment 2824936
View attachment 2824937
View attachment 2824938
Mtume kwa Lissu uone kama hata tii.Mtiifu wa nini
once mnafiki always lazima uwe hivyo hivyoKijana mtiifu Paul Makonda
Kijana mtiifu Paolo makondaonce mnafiki always lazima uwe hivyo hivyo
Ni kawaida yetu sisi Wakatoliki kupiga magoti na kubusu Pete ya Baba Askofu. Kama wewe sio Mkatoliki una haki ya kukataa kufanya hivyo.Duuh ..hii hapana aisee..never in my life kumsujudia mtu