Makonda anageuka super sub inayotoa matokeo

Makonda anageuka super sub inayotoa matokeo

Umewahi kuona wapinzaniwanasema haki imetendeka? Wapinzani hushangaa wakitangazwa washindi. Na ushahidi wa chaguzi kuchezewa uko wazi peupe.
Kama wanajua hawajashinda na wakashangaa basi wana matatizo kama yule samaki kamba kochi.Wangekuwa na msimamo wangekataa hayo matokeo "wanayoshangaa" bila hivyo ni ngumi za kupiga kivuli hakuna anayewachukulia serious.
 
Hakuna popote mpinzani anaweza kutangazwa bila kushinda nchi hii, hata kwa bahati mbaya. Huwa hawashangai kutangazwa washindi maana hawana uadimu wa kushinda, Bali hushangaa aliyewatangaza anajiamini vipi Hadi kuthubutu kumtangaza mgombea wa upinzani mshindi.
 
Kwa hiyo kwa mantiki hii uliyoandika wakishinda na wakitangazwa haki imetendeka?Sasa wakishindwa kwanini isiwe pia haki imetendeka?Au haki yao ili ionekane imetendeka ni lazima washinde?
 
Kwa hiyo kwa mantiki hii uliyoandika wakishinda na wakitangazwa haki imetendeka?Sasa wakishindwa kwanini isiwe pia haki imetendeka?Au haki yao ili ionekane imetendeka ni lazima washinde?

Acha upotoshaji, nimesema hata wakishinda hawana uhakika wa kutangazwa, huwa wanashangaa mwenye uthubutu wa kuwatangaza wanaposhinda. Na kwa taarifa yako Ili mpinzani atangazwe mshindi, ni lazima wafuasi wa upinzani wawe tayari kwa lolote. Sasa katika mazingira hayo wanasifia vipi kama haki imetendeka? Hakuna mpinzani mwenye tatizo la kushindwa kihalali, ila sio kwa matokeo Yale ya kihayawani.
 
Hao wanao kusanyika kumsikiliza huyo Daudi ni mazwazwa tu alioharibiwa akili na CCM.

Hana jipya ila anaendeleza maigizo ya wala nchi
Nawewe uliyekuja hapa ku-comment juu yake?

We ndo kumamanga la kisimiranto!
 
Raha sana kusikia semaji anavyo toa hoja na kujibu kelo na kuzitatua hapa kwetu Tanzania!!!
Hakika mwenezi wetu unatufanya tutembee kifua mbele RAHA sana kuwa CCM chama cheze watu makini na hodari!!! Endelea kuchapa kazi
 
Hata hao mazwazwa hayaendi yenyewe. Yanapelekwa na mabasi. Wengine ndio wanapita sasa hivi Migoli kwenye fuso yakitokea Iringa mjini kwenye ziara ya makonda.
Sio vizur kuita wenzako mazwazwa ewe ndugu mbona sisi tulipewa glukos kama misukule wakat wa mandamano kwazna mmetudhulum posho ya maandamno
 
Maana yake hayo maandishi yako ni kuwa rais wako anadanganywa na hajui kuwa anadanganywa!!??

Ukweli ni kwamba CCM hawana dhamira ya kuipigisha nnchi hatua.
Ukiingia mitandaoni unaweza kudhani Makonda hapendwi sana mitaani.

Ndugu zangu maisha ya mitandaoni ni tofauti kabsa na maisha halisi ya mitaani.

Mitandao hususani jamii forums inaaminisha uongo sana kwenye mambo ya kisiasa hapa nchini.

Natamani sana hata mheshimiwa Raisi Mama Samia siku moja angevaa kawaida akaingia mtaani kusikiliza maoni ya wananchi wake.

Naamini baada ya hapo angerudi ofisini watu wengi sana wangekosa kazi maana wanamdanganya sana mambo mengi kwa kumsifia.

Watu wengi wamegeuka kumsifia Raisi ili kuficha madhaifu yao.Ila nafurahi kuona watu kama CDF wanayasema matatizo katika uhalisia wake ili mama ayaju
 
Sio vizur kuita wenzako mazwazwa ewe ndugu mbona sisi tulipewa glukos kama misukule wakat wa mandamano kwazna mmetudhulum posho ya maandamno
Kwa jinsi ulivyoandika, nimekudharau sana. Mwanamke mpuuzi na zwszwa kama wewe ndio mtaji wa CCM na ndio maana kila saa mnampamba zwazwa na punguani mwenzenu Makonda. Mbumbumbu hujui kuandika hata "Glucose" unaandika "Glukos" Pumbavu wahead wewe kahaba la kijani. Huku UZOMBINI zinaumia sehemu zako za siri tu.
 
Back
Top Bottom