Makonda anageuka super sub inayotoa matokeo

julaibibi

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2020
Posts
3,341
Reaction score
4,573
So my question is? Kwann watu wanakusanyika anapokuwa Makonda?

Maana yake,anachokifanya Makonda wangekuwa wameshafanya ma DC, RC, wakurugenzi, mawaziri, manaibu waziri, jero nyingi zingekuwa zimeshasikilizwa!

Makonda ni wakwanza kufanya hivyo? Hapana! Si wa kwanza? Kwanini ghafla watumishi waliacha kusikiliza kero za watanzania Kwa kuingia field je walikatazwa? Noo big nooo

Tayari yake ni nini? Kiwango cha uwajibikaji,utu na kubeba matatizo yetu kama ya kwao ni hakuna kabisa!!

Atapendwa? Big Yes and big No! Justification on this? Atapendwa na matabaka mawili, tabaka la chini na tabaka la kati, lile tabaka analoligusa hawaezi kupenda anachokifanya na wapo tayari kukwamisha jitihada hizi Kwa gharama ya mauti na magonjwa!

Mwisho, Watanzania hawana haja na ofisi kama hazishughuliki na matatizo yao, anayeweza kusimama akashughulika na kero zao,hapohapo ndipo ofisi ilipo.

Kiu ya watanzania ni nini? Kupitia ziara hizo za Makonda? Mosi watanzania wanakosa haki zao za msingi pili Watanzania wanapenda sana viongozi kuingia field kutatua matatizo yetu tatu ambayo ni ya kwanza, Watanzania wanaweza kuonekana wamenyamaza kumbe mioyo yao inabubujikwa na machozi kama wakidharaulika.

Paul C. Makonda anageuka super sub inayotoa matokeo, huu mfupa sio mlaini ndio maana katika kipindi cha miaka 3, wenezi 3 wametafitwa katika nyakati tofauti tofauti.

Mungu anatukuzwa sana kupitia Paul Makonda, unakata kiu za Watanzania.

With thanks. Veronica France, fb on 5th feb 2024. Copy
 
Naona tayari wanambipu 🙌

IMG-20240207-WA0222.jpg
 
Makonda Hana Jipya Zaidi Yakuwahadaa Wananchi.
CCM haina Jipyq Lakuwafanyia Wananchi zaidi Yakutuma Mtu Wakuigiza Kama Makonda.
Kuna Siku Nimemsikia Makonda Akiwaambia Wananchi Rais Amesikia Kilio Cha MADEREVA wa Transit ,Hawana Uwezo Wakukata Passport Kubwa Kwahiyo Atawasaidia Kulipia Hizo Passport.
Hivi Kweli kilio Cha MADEREVA wa Transit Ni Kushindwa Kukata Passport??
 
Hao wanao kusanyika kumsikiliza huyo Daudi ni mazwazwa tu alioharibiwa akili na CCM.

Hana jipya ila anaendeleza maigizo ya wala nchi
Ni kweli jipya hana, jana nilikuwa ksenye mkutano wake mbeya na nilichogundua ni kwamba lengo lake ni kampeni tu na wala sio kutatua kero kwani hata jana zaidi ya 80% ya watu wenye kero zao hawakutatuliwa kwani alikaa muda mfupi tu, this means he doesn't take it like he mean it,. anataka tu aonekane kana kwamba anafanya kazi lakini kiukweli yupo kwa ajili ya mipasho tu kwa kina mbowe
 
Hao wanao kusanyika kumsikiliza huyo Daudi ni mazwazwa tu alioharibiwa akili na CCM.

Hana jipya ila anaendeleza maigizo ya wala nchi
Sawa sisi tulio wengi ni mazwazwa!!

Ninyi wachache wenye akili endeleeni kuandamana huku Ruzuku zinajenga mahekalu ya Mbowe!! Mna akili nyingi mnoo
 
M
ushawai kufika chuo cha propaganda .
makonda anawasikiliza ccm wenzake sawa na dimondi kufatwa na mashabiki zake.
hivi mtekaji na mzurumaji anaweza kusikilizwa na waliotekewa kweli
Mliotekwa mko wangapi?? Majizi na matapeli lazima mtekwe
 
Makonda Hana Jipya Zaidi Yakuwahadaa Wananchi.
CCM haina Jipyq Lakuwafanyia Wananchi zaidi Yakutuma Mtu Wakuigiza Kama Makonda.
Kuna Siku Nimemsikia Makonda Akiwaambia Wananchi Rais Amesikia Kilio Cha MADEREVA wa Transit ,Hawana Uwezo Wakukata Passport Kubwa Kwahiyo Atawasaidia Kulipia Hizo Passport.
Hivi Kweli kilio Cha MADEREVA wa Transit Ni Kushindwa Kukata Passport??
Gharama zenyewe laki na nusu, kuna dereva anashindwa? Wakati kwenye kupata ajira wanatoa hongo kwa MAHR zaidi ya hiyo.
 
So my question is? Kwann watu wanakusanyika anapokuwa Makonda?

Maana yake,anachokifanya Makonda wangekuwa wameshafanya ma DC, RC, wakurugenzi, mawaziri, manaibu waziri, jero nyingi zingekuwa zimeshasikilizwa!

Makonda ni wakwanza kufanya hivyo? Hapana! Si wa kwanza? Kwanini ghafla watumishi waliacha kusikiliza kero za watanzania Kwa kuingia field je walikatazwa? Noo big nooo

Tayari yake ni nini? Kiwango cha uwajibikaji,utu na kubeba matatizo yetu kama ya kwao ni hakuna kabisa!!

Atapendwa? Big Yes and big No! Justification on this? Atapendwa na matabaka mawili, tabaka la chini na tabaka la kati, lile tabaka analoligusa hawaezi kupenda anachokifanya na wapo tayari kukwamisha jitihada hizi Kwa gharama ya mauti na magonjwa!

Mwisho, Watanzania hawana haja na ofisi kama hazishughuliki na matatizo yao, anayeweza kusimama akashughulika na kero zao,hapohapo ndipo ofisi ilipo.

Kiu ya watanzania ni nini? Kupitia ziara hizo za Makonda? Mosi watanzania wanakosa haki zao za msingi pili Watanzania wanapenda sana viongozi kuingia field kutatua matatizo yetu tatu ambayo ni ya kwanza, Watanzania wanaweza kuonekana wamenyamaza kumbe mioyo yao inabubujikwa na machozi kama wakidharaulika.

Paul C. Makonda anageuka super sub inayotoa matokeo, huu mfupa sio mlaini ndio maana katika kipindi cha miaka 3, wenezi 3 wametafitwa katika nyakati tofauti tofauti.

Mungu anatukuzwa sana kupitia Paul Makonda, unakata kiu za Watanzania.

With thanks. Veronica France, fb on 5th feb 2024. Copy
Msisahau kuna SUB mbili nyingine ziko paleee, ambazo ni BASHIRU ALLY KAKURWA, NA POLEPOLEE, hizi sub ziko paleeee na hazina ata majeruhii. Wamesubiria wazeee wa maandamano wajichanganye ndipo kocha aweke hizo SUB
 
Iko hivi: Baada ya Kufa Dkt Magufuli, Dkt Samia lile kundi likamwambia achana na mambo ya kuwasikiliza watu wajinga na masikini, wewe ni rais, fukuza machinga wote na usiwape unafuu wa maisha hao ni masikini, basi Dkt Samia akasema ni marufuku kukuta mambango kwenye ziara zake. Basi ikapita hiyo Dkt Samia mara kadhaa kafukuza watu kwenye mikutano yake tena kwa dhihaka kuu. Watu wakaanza kuonewa na hao wateule wake, basi ukawa ni mfumo rasimi wa kuhakikisha Dkt Samia hapendwi, kibaya wapinzani nao wakawachukia watanzania kwa sababu Dkt Magufuli alikuwa anawapenda mno watu wake. Hiyo hali ndiyo Makonda anaifuta kwa sasa. Nchi hii haijawahi kuwa na mtu kama Makonda! Mungu ambariki Makonda
 
Ukiingia mitandaoni unaweza kudhani Makonda hapendwi sana mitaani.

Ndugu zangu maisha ya mitandaoni ni tofauti kabsa na maisha halisi ya mitaani.

Mitandao hususani jamii forums inaaminisha uongo sana kwenye mambo ya kisiasa hapa nchini.

Natamani sana hata mheshimiwa Raisi Mama Samia siku moja angevaa kawaida akaingia mtaani kusikiliza maoni ya wananchi wake.

Naamini baada ya hapo angerudi ofisini watu wengi sana wangekosa kazi maana wanamdanganya sana mambo mengi kwa kumsifia.

Watu wengi wamegeuka kumsifia Raisi ili kuficha madhaifu yao.Ila nafurahi kuona watu kama CDF wanayasema matatizo katika uhalisia wake ili mama ayajue.
 
Mtengeneze mbinu ya hadaa, kisha mlazimishe tuone ni mbinu yenye matokeo?! Na Bado mnaamini mmetupoteza na kuona hiyo ni mbinu sahihi ya kumaliza KERO huku mifumo Iko vilevile.
 
Ukiingia mitandaoni unaweza kudhani Makonda hapendwi sana mitaani.

Ndugu zangu maisha ya mitandaoni ni tofauti kabsa na maisha halisi ya mitaani.

Mitandao hususani jamii forums inaaminisha uongo sana kwenye mambo ya kisiasa hapa nchini.

Natamani sana hata mheshimiwa Raisi Mama Samia siku moja angevaa kawaida akaingia mtaani kusikiliza maoni ya wananchi wake.

Naamini baada ya hapo angerudi ofisini watu wengi sana wangekosa kazi maana wanamdanganya sana mambo mengi kwa kumsifia.

Watu wengi wamegeuka kumsifia Raisi ili kuficha madhaifu yao.Ila nafurahi kuona watu kama CDF wanayasema matatizo katika uhalisia wake ili mama ayajue.

Hii ya kwamba fulani anapendwa sana ila mitandaoni ndio hapendwi ilikuwa sana wakati wa Magufuli. Ikasemekana Magufuli anapendwa sana, lakini tuliishia kuona uchaguzi wa kishenzi sana Ili yapatikane matokeo yatakayoendana na alichoaminishwa au alichoamini Magufuli. Kama kweli Makonda anapendwa, tume ya uchaguzi iwe huru kisha matokeo halali yatangazwe ukweli ufahamike. Sio mlete picha ya sijui mtaani, halafu Bado mnalazimisha tume iwe chini ya mwenyekiti wa ccm, na uchagu mwingine wa wazi Ili kutoa matokeo yasiyoendana na uhalisia.
 
Iko hivi: Baada ya Kufa Dkt Magufuli, Dkt Samia lile kundi likamwambia achana na mambo ya kuwasikiliza watu wajinga na masikini, wewe ni rais, fukuza machinga wote na usiwape unafuu wa maisha hao ni masikini, basi Dkt Samia akasema ni marufuku kukuta mambango kwenye ziara zake. Basi ikapita hiyo Dkt Samia mara kadhaa kafukuza watu kwenye mikutano yake tena kwa dhihaka kuu. Watu wakaanza kuonewa na hao wateule wake, basi ukawa ni mfumo rasimi wa kuhakikisha Dkt Samia hapendwi, kibaya wapinzani nao wakawachukia watanzania kwa sababu Dkt Magufuli alikuwa anawapenda mno watu wake. Hiyo hali ndiyo Makonda anaifuta kwa sasa. Nchi hii haijawahi kuwa na mtu kama Makonda! Mungu ambariki Makonda

Na huu ujinga ndio mnajiaminisha Sukuma gang, matokeo yake kwenye hizi ziara za hadaa za muhalifu Makonda inatumika nguvu kubwa ya Dola kukusanya watu kuanzia watumishi wa umma nk. Raslimali za umma zinatumika kwa nguvu Ili kufanikisha ziara ya hadaa za chama. Na mlivyo wajinga mnaamini watu wanahadaika na hizo nyomi za kutengenezwa.
 
Msisahau kuna SUB mbili nyingine ziko paleee, ambazo ni BASHIRU ALLY KAKURWA, NA POLEPOLEE, hizi sub ziko paleeee na hazina ata majeruhii. Wamesubiria wazeee wa maandamano wajichanganye ndipo kocha aweke hizo SUB
100% nakubalia na wewe, ni SUB za kuhakikisha chama kubaki madarakini kwanamna yoyote ile.
Lakini sio SUB za kukemea na kuhakikisha tatizo la sasa la umeme linakwisha.
 
Umeme ni technical kwa hiyoo suala liko jikoni linatatuliwaa. Halafu kumbuka hakuna nchi wala taifa lolote lililomalizachangamoto za wananchi.
 
Back
Top Bottom