Makonda alipanga kuvuruga shughuli ya Joketi

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2018
Posts
539
Reaction score
3,507
Katika adhara Kama ile iliyowaleta Watanzania kwa pamoja na Makonda akiwa mwalikwa tu sikutegemea kuona kwamba wapo walioalikwa kwa umuhimu kuliko wengine.

Kauli ya Makonda dhidi ya waalikwa wenzake inaweza isieleweke ila ina tafsiri kwamba wapo wanaostahili kuingia kwenye karama na ambao hawastahili kuwepo kwenye karama Kama ile.

Inatufundishwa kwamba lipo gape kubwa la wanalionacho na wasionacho,masikini na matajiri na Hawa watu hawapaswi kuwa pamoja.

Naamini watoto wa kike wanaotafutiwa elimu Bora huko kisarawe ni watoto wa walevi, watoto wa watu wa ovyo kama tafsi ya Makonda ilivyo nk
Kama tunalenga kuwasaidia, je ni sahihi hao watoto wakawaona baba zao kuwa ni watu wa ovyo? Ni sahihi kutumia michango yetu kuwadhalilisha watoto wa kike wanaotokana na familia za ovyo Kama anavyowaita Mkuu wa Mkoa.

Ni kauli nyepesi kwa wasiofikiri kuhusu utu lakini ni kauli ya ubaguzi kwa wanaotambua thamani ya utu na ubinadamu.....Taifa letu linatuhitaji wote kwa wakati mmoja, si Taifa la matajiri na wenye madaraka bali ni taifa la Watanzania.

Leo Piere angechukua microphone akasema mkuu wa mkoa ni mtu wa ovyo mngemwacha? Kwanini mkuu wa mkoa amtukane mtu Tena mbele ya vyombo vya habari na tukae kimya? Yeye ni Nani kwenye nchi yetu Hadi aweze kujua nani wa ovyo na asiye wa ovyo? Anajua wanagapi wanapata riziki kwa anachofanya Piere?

Jana Pieere katoa laki moja, je wangapi wenye nazo na wamesikia uhamasishaji na wengine anaowaona wa muhimu kwake lakini hawakutoa hata shilingi moja wala kuhudhuria?

Nadhani Joketi amevunjwa moyo na aliyemtegemea, hiyo afla angeandaa Makonda na kumwalika konki angeweza kumtukana?

Joketi alimwona wa maana akamwalika wewe unayemwona wa ovyo uhitaji kumwalika kwenye Mambo yako...

Inaumiza Sana kuwaona binadamu wenzako Kama vinyago flani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wa mkoa watu ni watu, unawaona wewe kwa sababu ya ukwasi wao lakini ukiwa chunguza wamepateje utajiri utashangaa Sana, kipimo cha uwezo wa ufahamu wa mtu hakiongewi hadharani wewe nikiongozi pale hapakuwa mahala pake, maneno yako yanatusumbua mitaani.
 
Katika adhara Kama ile iliyowaleta Watanzania kwa pamoja na Makonda akiwa mwalikwa tu sikutegemea kuona kwamba wapo walioalikwa kwa umuhimu kuliko wengine.

Kauli ya Makonda dhidi ya waalikwa wenzake inaweza isieleweke ila ina tafsiri kwamba wapo wanaostahili kuingia kwenye karama na ambao hawastahili kuwepo kwenye karama Kama ile.

Inatufundishwa kwamba lipo gape kubwa la wanalionacho na wasionacho,masikini na matajiri na Hawa watu hawapaswi kuwa pamoja.

Naamini watoto wa kike wanaotafutiwa elimu Bora huko kisarawe ni watoto wa walevi, watoto wa watu wa ovyo kama tafsi ya Makonda ilivyo nk
Kama tunalenga kuwasaidia, je ni sahihi hao watoto wakawaona baba zao kuwa ni watu wa ovyo? Ni sahihi kutumia michango yetu kuwadhalilisha watoto wa kike wanaotokana na familia za ovyo Kama anavyowaita Mkuu wa Mkoa.

Ni kauli nyepesi kwa wasiofikiri kuhusu utu lakini ni kauli ya ubaguzi kwa wanaotambua thamani ya utu na ubinadamu.....Taifa letu linatuhitaji wote kwa wakati mmoja, si Taifa la matajiri na wenye madaraka bali ni taifa la Watanzania.

Leo Piere angechukua microphone akasema mkuu wa mkoa ni mtu wa ovyo mngemwacha? Kwanini mkuu wa mkoa amtukane mtu Tena mbele ya vyombo vya habari na tukae kimya? Yeye ni Nani kwenye nchi yetu Hadi aweze kujua nani wa ovyo na asiye wa ovyo? Anajua wanagapi wanapata riziki kwa anachofanya Piere?

Jana Pieere katoa laki moja, je wangapi wenye nazo na wamesikia uhamasishaji na wengine anaowaona wa muhimu kwake lakini hawakutoa hata shilingi moja wala kuhudhuria?

Nadhani Joketi amevunjwa moyo na aliyemtegemea, hiyo afla angeandaa Makonda na kumwalika konki angeweza kumtukana?

Joketi alimwona wa maana akamwalika wewe unayemwona wa ovyo uhitaji kumwalika kwenye Mambo yako...

Inaumiza Sana kuwaona binadamu wenzako Kama vinyago flani

Sent using Jamii Forums mobile app
AB aka PM atalaumiwa bure,hapo ndo uwezo wake wa kufikiri unaishia. Ni mtu wa kutafuta kick na kutafuta cheap popularity.
Ni kiongozi anaeongoza kwa kutoa matamko akishindana na rafiki ya KL wa vitu vya inside.
Jamaa anatoa matamko halafu hayatekelezeki wala kufanikiwa.
Amwache Pierre wetu atauchekeshe sie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika adhara Kama ile iliyowaleta Watanzania kwa pamoja na Makonda akiwa mwalikwa tu sikutegemea kuona kwamba wapo walioalikwa kwa umuhimu kuliko wengine.

Kauli ya Makonda dhidi ya waalikwa wenzake inaweza isieleweke ila ina tafsiri kwamba wapo wanaostahili kuingia kwenye karama na ambao hawastahili kuwepo kwenye karama Kama ile.

Inatufundishwa kwamba lipo gape kubwa la wanalionacho na wasionacho,masikini na matajiri na Hawa watu hawapaswi kuwa pamoja.

Naamini watoto wa kike wanaotafutiwa elimu Bora huko kisarawe ni watoto wa walevi, watoto wa watu wa ovyo kama tafsi ya Makonda ilivyo nk
Kama tunalenga kuwasaidia, je ni sahihi hao watoto wakawaona baba zao kuwa ni watu wa ovyo? Ni sahihi kutumia michango yetu kuwadhalilisha watoto wa kike wanaotokana na familia za ovyo Kama anavyowaita Mkuu wa Mkoa.

Ni kauli nyepesi kwa wasiofikiri kuhusu utu lakini ni kauli ya ubaguzi kwa wanaotambua thamani ya utu na ubinadamu.....Taifa letu linatuhitaji wote kwa wakati mmoja, si Taifa la matajiri na wenye madaraka bali ni taifa la Watanzania.

Leo Piere angechukua microphone akasema mkuu wa mkoa ni mtu wa ovyo mngemwacha? Kwanini mkuu wa mkoa amtukane mtu Tena mbele ya vyombo vya habari na tukae kimya? Yeye ni Nani kwenye nchi yetu Hadi aweze kujua nani wa ovyo na asiye wa ovyo? Anajua wanagapi wanapata riziki kwa anachofanya Piere?

Jana Pieere katoa laki moja, je wangapi wenye nazo na wamesikia uhamasishaji na wengine anaowaona wa muhimu kwake lakini hawakutoa hata shilingi moja wala kuhudhuria?

Nadhani Joketi amevunjwa moyo na aliyemtegemea, hiyo afla angeandaa Makonda na kumwalika konki angeweza kumtukana?

Joketi alimwona wa maana akamwalika wewe unayemwona wa ovyo uhitaji kumwalika kwenye Mambo yako...

Inaumiza Sana kuwaona binadamu wenzako Kama vinyago flani

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa uelewa wangu mimi mtu wa ovyo ni binadamu yoyote anaefanya matendo yasioyokubalika kwenye jamii husika.Mfano wasaniii wote wanaoimba nyimbo za matusi ni watu wa ovyo,wasanii wote wanaoweka picha za utupu kwenye mitandao ni watu wa ovyo,wasanii wote wanaonengua kwa kushika maeneo yao nyeti ni watu wa ovyo.
 
TatiO lipo hapa
Screenshot_20190331-145535.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa uelewa wangu mimi mtu wa ovyo ni binadamu yoyote anaefanya matendo yasioyokubalika kwenye jamii husika.Mfano wasaniii wote wanaoimba nyimbo za matusi ni watu wa ovyo,wasanii wote wanaoweka picha za utupu kwenye mitandao ni watu wa ovyo,wasanii wote wanaonengua kwa kushika maeneo yao nyeti ni watu wa ovyo.
Vipi kuhusu viongozi waliofoji vyeti?

- KANA -
 
unategemea nini kutoka kwa mhalifu anayebebwa bebwa na dola kwa kutumia ukaribu wake na mkuu wa nchi? ni mara ngapi huyo jamaa amefanya makosa ya jinai na uhujumu uchumi na bado anadunda katika ofisi ya umma? ndio maana anaona yeye anayo ''privilege" ya kuwa pale na sio hao walevi.
 
Katika adhara Kama ile iliyowaleta Watanzania kwa pamoja na Makonda akiwa mwalikwa tu sikutegemea kuona kwamba wapo walioalikwa kwa umuhimu kuliko wengine.

Kauli ya Makonda dhidi ya waalikwa wenzake inaweza isieleweke ila ina tafsiri kwamba wapo wanaostahili kuingia kwenye karama na ambao hawastahili kuwepo kwenye karama Kama ile.

Inatufundishwa kwamba lipo gape kubwa la wanalionacho na wasionacho,masikini na matajiri na Hawa watu hawapaswi kuwa pamoja.

Naamini watoto wa kike wanaotafutiwa elimu Bora huko kisarawe ni watoto wa walevi, watoto wa watu wa ovyo kama tafsi ya Makonda ilivyo nk
Kama tunalenga kuwasaidia, je ni sahihi hao watoto wakawaona baba zao kuwa ni watu wa ovyo? Ni sahihi kutumia michango yetu kuwadhalilisha watoto wa kike wanaotokana na familia za ovyo Kama anavyowaita Mkuu wa Mkoa.

Ni kauli nyepesi kwa wasiofikiri kuhusu utu lakini ni kauli ya ubaguzi kwa wanaotambua thamani ya utu na ubinadamu.....Taifa letu linatuhitaji wote kwa wakati mmoja, si Taifa la matajiri na wenye madaraka bali ni taifa la Watanzania.

Leo Piere angechukua microphone akasema mkuu wa mkoa ni mtu wa ovyo mngemwacha? Kwanini mkuu wa mkoa amtukane mtu Tena mbele ya vyombo vya habari na tukae kimya? Yeye ni Nani kwenye nchi yetu Hadi aweze kujua nani wa ovyo na asiye wa ovyo? Anajua wanagapi wanapata riziki kwa anachofanya Piere?

Jana Pieere katoa laki moja, je wangapi wenye nazo na wamesikia uhamasishaji na wengine anaowaona wa muhimu kwake lakini hawakutoa hata shilingi moja wala kuhudhuria?

Nadhani Joketi amevunjwa moyo na aliyemtegemea, hiyo afla angeandaa Makonda na kumwalika konki angeweza kumtukana?

Joketi alimwona wa maana akamwalika wewe unayemwona wa ovyo uhitaji kumwalika kwenye Mambo yako...

Inaumiza Sana kuwaona binadamu wenzako Kama vinyago flani

Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana Pierre alikuwa maaarufu kuliko mzee baba akapatwa wivu akamuwasha ina maana mzee baba hawez kuwa kiongoz bora maana hana Upendo kwa watu asio wakubaali same problem
 
makonda anamatatizo ya kimakuzi na malezi
 
Back
Top Bottom