Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,483
- 11,691
Nami nasali huko j2
Kumbe chadema ndio walisema gwajima ni muuza ngada?Chadema wataficha wapi sura zao??
Chadema wataficha wapi sura zao??
" Ni jambo zuri na la kupendeza sana ndugu kuishi pamoja kwa umoja" Zab.133:1Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amekubali kusali jumapili hii katika kanisa la Ufufuo na Uzima la mch Gwajima.
Baada ya shughuli ya kutiliana saini mkataba wa ujenzi wa bwawa la Stieglers ikulu, wawili hao walionekana wakipiga stori nyingi huku wakikumbushana mambo kadhaa kutoka kijiji chao cha Koromije.
Mwisho wa mazungumzo hayo Gwajima alionekana akimkaribisha ibada jumapili na Makonda bila kusita alionekana kukubali mwaliko huo.
Kila la heri Gwajima na Makonda
Wasi wasi wangu asije angusha bonge la kilio katikati ya Ibada.Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amekubali kusali jumapili hii katika kanisa la Ufufuo na Uzima la mch Gwajima.
Baada ya shughuli ya kutiliana saini mkataba wa ujenzi wa bwawa la Stieglers ikulu, wawili hao walionekana wakipiga stori nyingi huku wakikumbushana mambo kadhaa kutoka kijiji chao cha Koromije.
Mwisho wa mazungumzo hayo Gwajima alionekana akimkaribisha ibada jumapili na Makonda bila kusita alionekana kukubali mwaliko huo.
Kila la heri Gwajima na Makonda
Kwani gwajima aliongea na makonda au bashite?Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amekubali kusali jumapili hii katika kanisa la Ufufuo na Uzima la mch Gwajima.
Baada ya shughuli ya kutiliana saini mkataba wa ujenzi wa bwawa la Stieglers ikulu, wawili hao walionekana wakipiga stori nyingi huku wakikumbushana mambo kadhaa kutoka kijiji chao cha Koromije.
Mwisho wa mazungumzo hayo Gwajima alionekana akimkaribisha ibada jumapili na Makonda bila kusita alionekana kukubali mwaliko huo.
Kila la heri Gwajima na Makonda
Walikoficha ccm kipindi kile ndio chadema nao wataficha ahaaaaaChadema wataficha wapi sura zao??
Chadema wataficha wapi sura zao??
Baada ya kuoneshwa vyeti au tangu awali?Archbishop Gwajima Ni Mtu Makini Sana
Kama tumesalitiwa juu ya mafao yetu, kuna usaliti wa drama utatuumiza zaidi?Mange kawasaliti, Gwajima kawasaliti
Walikoficha vyeti vya ziro...vya Daud Albert Bashite na kuchukua vya Paul Makonda, ndiko huko huko sura zitafichwa.....Chadema wataficha wapi sura zao??
Tangu AwaliBaada ya kuoneshwa vyeti au tangu awali?
Sasa udaku kama huu ni wa kuletwa humu na mwanaume kweli?Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amekubali kusali jumapili hii katika kanisa la Ufufuo na Uzima la mch Gwajima.