PreGE2025 Tetesi: Makonda aikacha Kigamboni kugombea Arusha mjini

PreGE2025 Tetesi: Makonda aikacha Kigamboni kugombea Arusha mjini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
22,312
Reaction score
55,969
Habari zikufikie kwamba Paul Makonda amebadili gia angani sasa sio Kigamboni tena bali Arusha.

Makonda hawezi kugombea willaya aliyozaliwa maana kwenye kampeni itamletea shida, wapinzani wake wakifukua makaburi kumleta mwenye jina lake.

Kila anachikifanya Makonda pale Arusha ni maandaluzi ya kampeni za ubunge jimboni humo.
 
Habari zikufikie kwamba Paul Makonda amebadili gia angani sasa sio Kigamboni tena bali Arusha,
Makonda hawezi kugombea willaya aliyozaliwa maana kwenye kampeni itamletea shida,wapinzani wake wakifukua makaburi kumleta mwenye jina lake .

Kila anachikifanya Makonda pale Arusha ni maandaluzi ya kampeni za ubunge jimboni humo
Kufa kwa nyani miti yote huteleza. Mokonda hanasifa hata kidogo kuwa mbunge wa hapa Arusha
 
Back
Top Bottom