Makomandoo wa North Korea

Komredi,

Wakati ukiendelea kushangaa hayo bado hujastaajabu ya busha kwenda kutibiwa ughaibuni.

Miafrika Ndivyo Tulivyo.
Source: wewe mwenyewe.

Mpwa bana
Unaleta shida hapa mjini kwa wazee wa tezi dume
 
Niko mbioni kugradyueti udaktare wa tezi jike..... kipimo sitatumia dole wallah..... Staki maswali!!

Welcome to my world mpwa
Natamani mama salma aumwe tezi jike wallah maana mpaka sasa specialist niko peke yangu
Sitaki maswali pia
 
Welcome to my world mpwa
Natamani mama salma aumwe tezi jike wallah maana mpaka sasa specialist niko peke yangu
Sitaki maswali pia
Hahahahahaahaha

:clap2::mimba::tea::ban::flypig::flypig::flypig::hurt::hurt::closed_2:
 
Hahahahahaahaha

:clap2::mimba::tea::ban::flypig::flypig::flypig::hurt::hurt::closed_2:

Noma sanaaaaaaa
Situmii dole wallah
Na thitaki mathwaliiiiiiiii ila mimba ladhima sijui mtaniita le proffessori na mm
 
mkuu hiyo google si inamilikiwa na wamerekani?!,hudhani kwamba keywords/links zenye taarifa husika zitaipendelea USA?!.nashauri atumie Yandex.
Kugoogle siku hizi ni msamiati tu unaweza kutumia chochote unachotaka kugoogle hata bing ukipenda.
 

story za kwenye kahawa zimekuadhiri sana..
 


Nona ulikula kona kimoja!!
 
wacha ushamba haya ni mazoezi ya ukakamavu, kwani unaskia watu wanapigana uso kwa uso.
haya ni mazoezi yakuwaweka katika hali ya ukakamavu na pia kuwa tayari kama ikitokea kuvamia kambi au kukamatwa.
 
Last edited by a moderator:

Hahaaaa we mshikaji baada ya kukugaragaza hukurudi tena na hizo kelele zako.
 

How dare you? Mbona hata majeshi ya nchi zilizoendelea tunaona wanafanya show za self defence, ungekuwa kijijini kwenu mtu kama wewe sijui ungefananaje...
 
Last edited by a moderator:
Na Jim Kelly.

Kuna jamaa anaitwa grandmaster Victor Moore, ushawahi kumsikia? Anadai alizuia 'lightening strikes' za Bruce Lee na kuwapiga Chuck Norris na Jim Kelly.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…