Hizi stunts za kuvunja matofali ni propaganda tu.
Vita gani za hivi karibuni umeona hand to hand combat?
I'm not impressed one bit.
Ground war inapiganwa kwa ngumi na mateke?
Mkuu sikutegemea kuulizwa swali kama hili, nchi gani ambayo wanajeshi wake hawafundishwi Ngumi?
Komredi,
Wakati ukiendelea kushangaa hayo bado hujastaajabu ya busha kwenda kutibiwa ughaibuni.
Miafrika Ndivyo Tulivyo.
Source: wewe mwenyewe.
Nimeangalia hii YouTube clip nikakumbuka maonyesho ya wale so called makomandoo wetu na zile show zao za kuvunja matofali na vibao.
Sijui hao wakwetu walienda kujifunza huko North Korea.
Watu wanapigana vita na ma drone wao bado wako na mentality ya kuvunja matofali.
Mkuu kama vita imegeuka ya drone mbona bado kuna wanajeshi. Jeshi bado liko pale pale kwata litapigwa, mazoezi ya kivita including kuwa na makomando kwa ajili ya self defence yataendelea kutolea, hiyo si kwa Tanzania au hiyo Nothern Korea hata kwa hawa watengeneza Drone
Ukizingatia wana hasira na kunyimwa madai yao, na mwenzao kufanyiziwa Mabwepande... Le Proffesseri angetiwa midole yenye kucha ndefu mpaka akome.Madaktari wa kibongo wangempima siku mbili picha Zingesambaa mitandaoni.
Hahahahahaah.... Mungu apitishe mbali haka kaugonjwa asee....Babu Asprin inawezekana professor alikimbia kutiwa vidole sehemu zile, huo ugonjwa wa busha hata Hospital ya Magomeni angetibiwa. Inawezekana aliogopa kufanyiwa hapa. Professor aliogopa wange mnanihino wakati amepitiwa na kale kausingizi cha kupigwa kisu.
Busha mwisho Chalinze, mjini Tezi Dume.Busha ujiko
Mazoezi ya ukakamavu muhimu.
Lakini kwenye vita vya silaha ngumi na mateke ni useless.
Seconded.Mazoezi ya ukakamavu muhimu.
Lakini kwenye vita vya silaha ngumi na mateke ni useless.
Comrade, wakati wenzetu wakijizatiti na teknolojia mpya na za kisasa kwenye majeshi yao, sisi tunajizatiti kuvunja vitofali na mbao mbele ya Amiri Jeshi Mkuu Le Proffeseri.
Kuvunja vitofali hata kina Power Mabula wamevifanya sana tu.
kama wapi vile ilikomboa mateka naomba tujuzane,kuna boko haram tu hapo Nigeria watoto wakike wamemaliza miezi sita hizo drone hatukuziona,IS hawahapo bado mpaka sasa wana waenyesha leo watu wana opt kutuma ground troops wakiwaita military advisory,waandishi karibia watatu wamechinjwa kama kuku wakati drone zinaoperate je zilikosea tageti au IS wanatechnologia ya hali ya juu?? naweza kuwa na mawazo ya kizamani yenye mantiki na uwezo wakufikiria zaidi ya kufikirika,lakini wewe mwenye mentality za kisasa kwa uvivu wako wakufikiri unaamini kila unacho ambiwa bila ya kuwa na walau ushahidi wakubabia
Mkuu, achana na drones, hizo F16 tu za Marekani xinagonga mwamba kwa ISIS.Nimeangalia hii YouTube clip nikakumbuka maonyesho ya wale so called makomandoo wetu na zile show zao za kuvunja matofali na vibao.
Sijui hao wakwetu walienda kujifunza huko North Korea.
Watu wanapigana vita na ma drone wao bado wako na mentality ya kuvunja matofali.
[o]
hivi nyinyi watu wengine sijui huwa mnaathiriwa na nini? south korea haina technolojia na wanategemea technolojia ya marekani kwa kila kitu wananunua, north korea ni nuclear capable nation na korea ya kusini hawana kwa sababu silaha za nyukilia haziuzwi.Hivi kweli unadhani North Korea wanaweza kwenda head to head na jeshi la South Korea?
You gotta be kidding me.
Hahahaha..
Mkuu sio kidole ni mkono aisee..
Ground war inapiganwa kwa ngumi na mateke?
hivi nyinyi watu wengine sijui huwa mnaathiriwa na nini? south korea haina technolojia na wanategemea technolojia ya marekani kwa kila kitu wananunua, north korea ni nuclear capable nation na korea ya kusini hawana kwa sababu silaha za nyukilia haziuzwi.
kila siku wanafanya majaribio ya makombora ya nyukilia ya masafa ya kati na masafa marefu, hayo yote korea kusini hana.
ukiacha hapo.
korea ya kusini na kasikazini zilishapigana miaka 20 naa mpaka zikawa zinnapigania kwenye border line yaani alikosekana mbabe wa kumshinda mwenzake .
sasa leo hizo silaha kali zimetoka wapi huko korea ya kusini wakati wao walishashikwa masikio na arekani?
kama ungekuwa unafahamu wala usingeandika haya.
korea ya kusini inajua haina ubabe wa silaha kwa korea ya kasikazini na ndio maana wamarekani huwa wanatumia ndege zao za B2 na B52 ambazo ni nuclear capable kufanya mazoezi ya pamoja na korea ya kusini kwa lengo la kuitisha korea ya kasikazini.( kwa kiingereza soma ni military drill).
korea ya kasikazini mwaka jana ama mwaka juzi tu ilivurumisha makombora na kuishambuia korea ya kusini mpaka korea ya kusini ikawa inapiga mahesabu ya kuingia vitani lakini wakanywea baada ya kukugundua wao wataingia hasara kubwa na korea haitaingia hasara na kimsingi hawakuwa na ubora kabisa wa kuingia vitani na korea ya kasikazini na ndio baadae wakaelekea marekani kuomba msaada na hao wamarekani ndo wakawa wamepeleka ndege zao kufanya mazoezi ya kivita ili kuitisha n.korea lakini mwisho haikutishika na ilirusha makombola yake ya nyukilia kufanya majaribio ya kijeshi kujibu mazoezi ya kivita ya marekani
Mkuu, achana na drones, hizo F16 tu za Marekani xinagonga mwamba kwa ISIS.
Airforce haijawahi kuteka nchi, its boots on the ground.
Zoezi la ukomandoo ni muhimu
Rejea tu somo la Vietnam!Marekani haijaji-commit kivile kuisambaratisha ISIS wewe.
Hakuna nchi wala kikundi kinachoweza kupambana na Marekani katika conventional warfare.
Rejea tu somo la Vietnam!