Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,154
- 137,162
Komredi,
Wakati ukiendelea kushangaa hayo bado hujastaajabu ya busha kwenda kutibiwa ughaibuni.
Miafrika Ndivyo Tulivyo.
Source: wewe mwenyewe.
Ha hahaha! Eti busha kutibiwa ughaibuni, na baridi la ughaibuni sasa.....!?
BTW si majuzi kulikuwa na unywaji wa dawa ya kupambana na mabusha, mkuu alificha dawa nyuma ya mtungi!?
Komredi,
Wakati ukiendelea kushangaa hayo bado hujastaajabu ya busha kwenda kutibiwa ughaibuni.
Miafrika Ndivyo Tulivyo.
Source: wewe mwenyewe.
Nimeangalia hii YouTube clip nikakumbuka maonyesho ya wale so called makomandoo wetu na zile show zao za kuvunja matofali na vibao.
Sijui hao wakwetu walienda kujifunza huko North Korea...
Watu wanapigana vita na ma drone wao bado wako na mentality ya kuvunja matofali.

Hahahahaah naona aliona akimeza atakosa katripu ka ughaibuni.
Janja sana le proffeseri. Na ule upimaji wa ile makitu naskia daktari lazima aingize dole kwenye kinyeo..... sasa madaktari wa bongo walivyo na hasira za kukataliwa nyongeza ya mshahara unahisi kingetokea nini?
Duh.....!!Hahahaha..
Mkuu sio kidole ni mkono aisee..
tunapoita self defense unakuwa unaelewa maanake????sio mdawaote drone itafanya kazi kawaulize navy seal kama hawafanyi haya mambo tusiwe haters tuu
We hujui drones zinateka miji???!!!
Au hujui kuwa drones zinaweza kwenda front line??!!!
Yaani hujui drones zinaweza kwenda kukomboa mateka??!!
Acha mentality ya ki zamani!!!!
Watu hao walioendelea wangonga KRAV MAGA na JIU JITSU halafu wakwetu wanadhihakiwa!!!
Hahahahaah naona aliona akimeza atakosa katripu ka ughaibuni.
Janja sana le proffeseri. Na ule upimaji wa ile makitu naskia daktari lazima aingize dole kwenye kinyeo..... sasa madaktari wa bongo walivyo na hasira za kukataliwa nyongeza ya mshahara unahisi kingetokea nini?
Drones haziwezi fanya kila kitu sawa na binamdamu ndiyo maana ISIS mashambulizi ya anga hayajafua dafu kwao ndiyo maana vinahitajika vikosi vya nchi kavu.
Wababe wao kutoka Korea Kusini
Wababe wao kutoka Korea Kusini
nadhani hao ni "wanyonge wao toka korea kusini"