Kama una-access na TBC1 - Sherehe za Miaka 50 ya Uhuru - ile Guard ya pili ni ya "Komandoos & Marine Special Forces"!
Net yangu ipo chini sanaaa.Nitajitahid nikuwekee hata picha za still.MPAKA SASA MAGARI YENYE ZANA ZA KIJESHI YANAENDELEA KUPITA.NI MENGI HAIJAWAHI KUTOKEA NDUGU....pia wameonyesha gari made in tanzania... Limetengenezwa na shirika la nyumbu.
Ila yule alikuwa anapigwa na ubao kwenye mgongo ni balaa, hata kutikisika Jaman, mie nahisi kachanjia yule
Hayo mafundisho yapo, hata wewe unaweza, jenga misuli iliyokakamaa then wakati xa kupigwa unakaza !plywood ile mkuu,
aje nimpe na ubao wa 2x2 tena ambao haujakauka, tena wa pine tree tuone kama hawatamkimbiza mochwari kabla hajaharibika.
COMMANDO wa israel anaweza ruka toka kwenye ndege bila kutumia parachute,na huku akitumia breathing techniques za yin and yang anaweza float hewani for sometime bila parachute kabla aja hit the ground
Mi naongelea hasa maujanja ya kwenye shughuli, kama vile kupita kwenye moto, kushusha kipondo cha kiteknikali kabisa, kucheza na vyombo vya kivita,,mfano kumpiga kabali piloti na yeye kuongoza ndege,,kubembea kwenye mkia wa ndege afu anasavive mpaka anaenda kumteka rubani.
Ila kaka hapa tunaongelea akikutana na wataalamu wenzake wa mfano Cuba.
Sikonge,...Hivi makomandoo wetu wanakula vizuri kama wa Uropa uliowaona?
unaposkia komando haijalishi nchi anayotoka.., uwezo wake ni wa hali ya juu sana,, sasa kwny huo uwezo wa juu wanapishana huko kutokana na task na specialization..., kwa mfano navy seal team 6, ni wataalam wa counter-terrorism, lakn hapo hapo kwny navy seal commandos wapo specialised kwa tactics nyingine...,
Hapa tz, zamani commandos alikua for general purpose, lakn ikaonekana kuna haja ya specialization ndo maana saivi kuna marine commandos pale navy,, wanasomea china
Pia kuna airborne, hawa wanakua na bawa moja lakn wanafanya mafunzo mengi kama infantry commandos na haja ya kufanya hivyo ni kwa sbb wanakua deployed behind enemy lines, wanafundishwa kufanya kazi kwa vikundi vidogo lakn kwa ufanisi mkubwa
Kuna programme ilioneshwa tbc last year, ungeamini kua jamaa wako fiti..., watu wanavunja tofali kwa vichwa, watu wana uwezo wa kuruka gari.., in short wapo fiti....
Na unapolinganisha na wa nje, makomando wetu wengi wanapata mazoezi nje ya nchi...., katika kikosi maalumu kinachosafirisha sana wanakikosi basi ni 92kj(sangasanga)...,
Commandos wetu wanavaa maroon beret au kwa kiswahili rangi ya damu..., wako tayari kutoa damu yao kwa taifa,
Mm binafsi nimeshashuhudia wanalala wima wanaegemea ukuta!!!
Hawa watu wako fit kweli, they are pushed to the boundary na hapo 92 mazoezi ya vikwazo au ya kimapigano ni live fire, ukifanya masihara unarudi maiti
mkuu, yani kurusha mateke hewani na mangumi ndo interesting? Hata mimi mbona nafanyaga tu hapa kwa sensei chambino.
nasikia hawa wa kwetu wanafundishwa mpaka uchawi wa black magic.hii huwasaidia sana ktk ku-hide identity especially ktk maeneo hatari ya kutafuta taarifa za kijasusi.hivyo usishangae kusikia commando anaweza kuingia eneo lolote bila wa2 wengine kumuona-ongea na wa2 wa military intelligence ktk hilimakomandoo wa tz ni noma hata wazungu huenda hawaingii. mm nina kaka yangu ni komandoo yaani hata kama cruiser iko spidi ya 100k/saa yeye anweza kuruka au kudandia hilo gari. na suala la kuruka kwenye ndege hilo ndilo usiseme. anaweza kusihi baharini for long time na bila any equipment and no food. na hata akiruka kwenye gari ambalo mliko na spidi hiyo anaweza kushambulia adui while yuko ktk process ya kushuka kwenye gari. hawa jamaa sio mchezo. ukiona commando ambaye ana mabawa full kwenye shati lake mwogope sana maana ni full commando. suala kumkuta yuko chumbani bila kujua kaingiaje n ni suala la kawaida.
kwa kuwakumbusha tuu ni kwamba kuna komando alikuwa mara kwa mara akitaka kuonmgea na rais ikulu alikuwa anaingia ikulu bila hata walinzi kujua na rais alikuwa anshnaga jama kesha ingia ndani kwake...ni wakati wa nyerere lkn hata wkt wa mwinyi.
these our comandoos are dangerous my friend, dont dare to play against them....
these issues are not threats to national security..,Upo kitengo cha mahusiano na jamii (P.R o) ama wamekupa kibali cha kumwaga habari zenu hapa? Bta b obsver 2 c whts known.
Ni kweli kabisa..., na wamarekani wame-opt krav maga kwa commandos wao.., hii style ni anythng goes inafanana na combat karate au self defence ila yenyewe ipo juu...,Miaka ya 90 nilishawahi kukutana na Makomandoo kadhaa nchi za wenzetu. Hawa jamaa walikuwa kwenye kikosi kimoja kikali sana ambacho kuna miaka ya 90 mwanzoni, walishiriki kuwakomboa na kuwatorosha Wamarekani huko Iraq.
Ukiwasikiliza, ndiyo unaona kuwa hawana tofauti sana na Komandoo wa nchi nyingine au hata wa Tanzania. Sema tu ni mazoezi yepi wanafanya kila siku kujiweka fit. Pia ujuzi wa kupigana hasa style gani wanatumia. Hapa kwa kweli hizi Kung-fu au sijui Karate huwa ni cha Mtoto. Zinaheshimika sana style za Izrael iitwayo KRAV MAGA
hii ya kwako ni mpya..ninachoamini ni kuwa hawa jamaa wana uwezo mkubwa wa kutumia akili zao na wanajua weak points za walinzi na watu wengine, hivyo wanatake advantage ya hizo weakpoints na kupenya ndani. hakuna mlango unaowashinda kufunguanasikia hawa wa kwetu wanafundishwa mpaka uchawi wa black magic.hii huwasaidia sana ktk ku-hide identity especially ktk maeneo hatari ya kutafuta taarifa za kijasusi.hivyo usishangae kusikia commando anaweza kuingia eneo lolote bila wa2 wengine kumuona-ongea na wa2 wa military intelligence ktk hili
watakwambia
lisemwalo lipo ndg usibishe kumbuka wewe na mimi ni raia wa kawaida.ongea vzur na wa2 waliopitia mambo ya kikomando watakwambia.magic sio lazima uwe unaruka na ungo kama wafanyavo watan zangu wafipa kule sumbawanga.hii ya kwako ni mpya..ninachoamini ni kuwa hawa jamaa wana uwezo mkubwa wa kutumia akili zao na wanajua weak points za walinzi na watu wengine, hivyo wanatake advantage ya hizo weakpoints na kupenya ndani. hakuna mlango unaowashinda kufungua
Wakuu naomba kujua kama hawa makomandoo ni kama wale ambao huwa nawaona kwenye video.
Kuna mmoja nilipanda nae daladala la posta G/mboto na pale begani pameandikwa kabisa komandoo ,,, ,,,, ,,,.
Sasa napenda kujua mafunzo yao ni kama yale yenyewe kabisa? yani yani yani kabisa yani .....wanauwezo ule wa ukweli kabisa yani kama komando john zile yani?