Makomandoo wa Bongo

Mimi nimeshuhudia komandoo wa kiisrael alizunguukwa na Makomandoo wa Hizbullah, alijigeuza kuku ili akwepe ! Hata hivyo walimkamata na kumfanya kitoweo!

Daaaah!!!mkuu..hapo sasaaa.....ni kufurahisha wana jf.😀😀😀
 

Kwa kifupi umempa jibu japo si kiundani kabisa lakini wengi wataelewa Hongera sana
 
Napingana na wewe Mkuu makomandoo wa tanzania wanatumia AK 47 and above...see the picture below....
 

fakenology wacha kutudanganya TZ ni ya sita Africa kwa kuwa na jeshi bora gonga link below....
https://www.jamiiforums.com/interna...ntries-with-the-strongest-army-in-africa.html
 
Last edited by a moderator:
macomando wote duniani wanakaa kwa komando kipensi, just kidding!
 
Jamani mnafananishaje waagizaji na wahusika halisi? Au sijawaelewa? Wale wa kwenye movie sio askari ni waigizaji tu. Hawa wa kwetu mnaowaona kukiwa na maaadhimisho ya kitaifa ndiyo wa ukweli yaani real. Ukimuleta Rambo hapo ukamuonesha wa kwetu na kusema wapambane. Rambo atakuuliza what crime have I committed to deserve death sentence?
 
Mimi ninachojua kuhusu makomandoo ni kimoja tu. They don't make themselves known to public! Because if the enemy knows u r a commando atajiandaa vilivyo kukukabili. So element of surprise is crusial to them. Hii philosophy ni world wide ndo maana seal team six hawajulikani kwa public. Labda kama kwa Tanzania hichi kitu haki apply tuambiane mapema.
 

uliza kongo kwa m23!!!
 
Makomando wetu wana mafunzo mazuri na wapo fiti sana,kenya kama wangeomba msaada tanzania kwenye tukio la westgate kazi ingeisha siku ileile jeshi la kenya wanavifaa vingi lakini dhaifu sana.M23 ya congo,vita ya liberia,comoro nk. wote wamesambaratishwa na makomando wetu. Mara kadhaa wanajeshi wa marekani,uingereza,italy,france,china wamekuja kufanya mazoezi na wanajeshi(makomando) wetu hii ni kuonyesha wanakubalika nje ya afrika kwa umahiri wa kupambana kwenye vita
 
Tunategemea tutawaona kesho wakiruka kwa miamvuli inshallah
 
Teh,jamani eeh,kila binadamu ni komandoo kiasili,hii ni kwa misingi ya uvumilivu,ujasiri,nguvu na utumizi wa akili kulingana na mazingira na uhitaji...nani anabisha? Chunguza maisha yako utagundua kama wewe ni komando au sungusungu.
 
Teh,jamani eeh,kila binadamu ni komandoo kiasili,hii ni kwa misingi ya uvumilivu,ujasiri,nguvu na utumizi wa akili kulingana na mazingira na uhitaji...nani anabisha? Chunguza maisha yako utagundua kama wewe ni komando au sungusungu.

Nimeamini kwamba sisi binadamu si wa kawaida Juzi!
Usiku wa kuamkia juzi Sikulala kabisa, nilijipumzisha kitandani naangalia TV, ilipofika saa 9:50 usiku nikaanza safari kwenda Sengerema Mwanza kutokea hapa Dar! Saa 10 nilikuwa nakatiza Ubungo mataa! Nimeendesha kutwa nzima nilisimama Dodoma tu si zaidi ya dakika 10! Taarifa ya habari ya saa 2 usiku nimeangalia Sengerema! Na sikuwahi kuendesha umbali mrefu zaidi ya Chalinze! Sikuchoka wala kusinzia njiani! Sijui Ujasiri na uvumilivu huo ulitoka wapi!
 

Afu yakitokea tunasema kazi ya Mungu haina makosa,.haya mkuu wewe ni jasiri kweli
 
Wanahitajika kuwakamata wale matapeli wa Escrow account,maana mpaka sasa jeshi la polisi sioni kama litakuwa lina ujasiri wa kuwakamata..
 

Naomba link ya huo uzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…