Makomandoo wa Bongo

Ushindwe na ulegee by the Name of Jesus Christ. Hunipati ng'o utawapata wajinga wajinga tu. Mimi nina mizizi mkuu
Mwenyezi Mungu anasema 'nyie ndio mnae mlinda Mungu wenu mnae muomba awaokoe/awasaidie ! Sijui umeelewa hapo! Yaani tengeneza msalaba wa dhahabu halafu wajulishe mateja..................!
 

Mkuu big up! Hapo umenena!
 
Mkuu hakuna aliabisha kuwa Azam na Barca wote wako ligi kuu.
Tofauti unakuta Ulimwengu katokea TFF ACADEMY wakati Mesi katoka BARCELONA ACADEMY
Ila wale wa ukomando huchukua mafunzo pamoja na wanaweza kufanya kazi pamoja bila
wasiwasi.
 
Kwa nini tunaanza kuingilia maswala juu ya ujasiri wa jeshi letu.Wale jamaa wasingekuwa fit nadhani JWTZ wasingewapeleka pale.Pia tofautisha makomandoo wa picha na makomandoo halisi.
 
Actually kama ni commando wa ukweli hatatufanya lolote maana wamefundishwa kutokutumia mafunzo yao kwenye masuala yasiyo ya kivita.

Hii naafiki kabisa kwani hata wacheza martial arts (karate, taekwndo, kung-fu, etc) wazuri sio watu wakukurupuka kupigana hovyo kwa visa vya kutaniwa au kuchokozwa hovyohovyo!!!

Hawa uanowaona wanajifaragua kwenye daladala wanatunisha vimisuli ni wanaojua kurusha mateke tuu na ngumi mbili tatu (wakati mwingine mimi na wewe twaweza kuwa wakali zaidi yao)
 
Watu wabishi yaani, yaani unaringanisha komandoo wa sinema na wale wa halisi???
 
ndo wenyewe lakini bado sana hawafikii wale wa marekani wenye uwezo wa kupigana sehemu yeyote iwe baharini ,chi kavu au angani


Nani aliekudanganya? Ili uwe Komando lazima uweze kupigana angani na majini na nchi kavu! Usiwaone hao! Wanaweza kuruka kutoka kwenye ndege na kuogelea kwenye Maji akiwa na Peki mgongoni na silaha tena akiwa amevaa buti! Acha kabisa hao sio watu Wa kawaida!
 
Mwenyezi Mungu anasema 'nyie ndio mnae mlinda Mungu wenu mnae muomba awaokoe/awasaidie ! Sijui umeelewa hapo! Yaani tengeneza msalaba wa dhahabu halafu wajulishe mateja..................!

Hahahaha unawezaje kumlinda yule unaye muomba akuokoe? Ikiwa yeye mwenyewe anahitaji kulindwa je atawezaje kukuokoa?
 
tofali hulivunjwi kwa kichwa labda uwe mchanga ulkusanywa katika umbo la tofali kwa kutumia saruji dhaifu kinyume cha hapo utatoka nundu ya kumbukumbu -wahenga walisema mpiga ngumi ukuta ........!
 

Ahhahahahahahahha
 
Hadithi yako nimeipenda,inatufundisha nini?
 
Hivi hawa makomandoo si wanajua kila kitu?, watusaidie basi kuunda timu ya taifa ya futbol na sisi twende Woldi Kap mwanawane.
 
Komandoo Hamza Kalala,

Komandoo Lady Jay Dee!
 
Tamim alikuwa Komandoo na aliasi kwa mujibu wa madai ya wabaya wake, usalama wa taifa. Alitoroka jeshi baada vita vya kagera na alikimbilia Kenya, alirudi kuungana na makampten waliopanga kufanya mapinduzi, akina Hans Pope, Maganga na Mac Ghee.

Mkuu mie Ni wa kizazi cha karibuni, huyu Hans Pope ndo Yule wa malori ya mafuta, mdau mkubwa wa Simba na aliyekuwa champion wa mgogoro wa mafuta?
 
Nasikia kuna wenye uwezo wa kufungua soda kwa jicho.
 

usituite waongo hatujui, vipi nikitaka kumshambulia raisi kwa ngumi mtanizuiaaje makomandoo? du utani lakini nisije ishie karanga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…