kwani Komandoo ni nani?
[h=3]Komandoo Hamza Kalala ??[/h]Komandoo Salimin Amour?
Makomandoo wa Yanga??
COMMANDO wa israel anaweza ruka toka kwenye ndege bila kutumia parachute,na huku akitumia breathing techniques za yin and yang anaweza float hewani for sometime bila parachute kabla aja hit the ground
'Na wameishika miungu mingine badala ya Mwenyezi Mungu ili wapate kusaidiwa nao ! Hawawezi (hao miungu) kuwasaidia. Wao hao (wanaowaabudu) ndio wanaokuwa maaskari wa kuwalinda (hayo masanamu yao):Quran; 36:74-75Nimeanza kukuzoea lakini sidhani kama unaweza kuwa sawa sana, hata sisi Wakristo tunakuoneni mnaabudu kamungu kasikokuwa kastaarabu, kanakopenda majini,vurugu na mambo machafu machafu. Ok dini yako kaa nayo ila najivunia kuwa Mkristo,. Na sitegemei kuvutiwa na upuuzi mwingine wowote. Mwisho wa siku tutaona ni nani yuko wrong way. Karibu utakaswe akili uwe kiumbe kipya
Mh! mh! mh! Hizi ni propaganda za waziri wa Habari wa Iraq Enzi za SADAM HUSEINCOMMANDO wa israel anaweza ruka toka kwenye ndege bila kutumia parachute,na huku akitumia breathing techniques za yin and yang anaweza float hewani for sometime bila parachute kabla aja hit the ground
Duh Great! Mkuu umewaza kuanzia wenzio walipoishia.Mnajenga misuli, jengeni! Mnapasua matofali kwa vichwa, pasueni! nunueni silaha chakavu na kugeuzwa damping ground sawa! mnafanya magwaride makubwa makubwa, sawa! Lakini si vibaya kukumbuka kwamba nchi yetu ni ya3 kwa kuomba omba Duniani na ya kwanza ktk Afrika kwa taaluma hiyo! si mbaya kwa ukomandoo huo! Mwisho wa siku watoto wetu wanakalia mawe darasani, mkifa sanda viroba, badala ya kununua dawa tunaboresha na kuongeza vyumba vya maiti! daah, kweli kupanga vipaumbele tumechagua! Natuendelee kufuga simba akikosa nyama atutafune......
Hii ni burudani nyingine ndani ya JF yaani unapokuwa Busy kwa saaanaMimi nimeshuhudia komandoo wa kiisrael alizunguukwa na Makomandoo wa Hizbullah, alijigeuza kuku ili akwepe ! Hata hivyo walimkamata na kumfanya kitoweo!
Ha ha ha haaaaaaa Uweke mchanga kwenye moto kwa dakika180 kisha uwe unaweka viganja vya mikonojamaa kwa kweli wanaonekana kuwa vyema kimafunzo, hivi wanavyopasua matofali kuna mbinu yeyote wanatumia ama ni ukomavu tu? Manake nimetoka kujaribu, kidogo vidole vivunjike na tofali halijapata hata ufa..
We unazungumzia Makomando wa jiji((CSC) CITY COMMANDOS SPECIAL FOR CHINGAS) wenzio tunazungumzia wale wa jeshi.hivi hawa si wale waliocharangwa mapanga na wananch na hatimae kutimua mbio kule kwenye ugomvi wa ardhi wazo hill
Mkuu Maigizo ni maigizo tu, Na kitu kikiwa real ni real. Kwani huwezi kutofautisha maigizo na Real? Rambo, Schwarznager na nyinginezo, Mfano ukiangalia Training za Navy seals unajua kabisa kwamba hizo ni real , na kwa kuwa inaonyesha wanaoshindwa na jinsi wanavyopewa nafasi za ku-improve. Acting huwa ni ushindi kwa kwenda mbele (Kama Rambo).Mkuu isije ikawa uliyoyaona ni kwa ajili ya TV show!
Mbona akina kanumba wanaweza kuigiza kwenye majumba na magari ya kifahari?
ndo wenyewe lakini bado sana hawafikii wale wa marekani wenye uwezo wa kupigana sehemu yeyote iwe baharini ,nchi kavu au angani