Hii nchi bwana kubwabwaja tu ili mradi upate unachotaka
Sijui usalama wa taifa wako wapi kulichukulia hatua jambo kama hili.....
Sijui ni lini serikali itaanza kuchukulia mambo serious maana hili sio jambo la CHADEMA, CCM wala Kikwete, hili ni jambo la usalama wa taifa lakini wamefyata mikia utafikiri mijibwa koko ugenini kwa watu......serikali imekufa jamani, haipo in short, huwezi kuropoka hivi kwenye nchi makini halafu ukaachwa............
wakiri mbele ya vyombo vya habari kuwa zile zilikuwa Siasa uchwara na waombe radhi kwa watanzania kwa kuwadanganya