Makomando ya chadema

dedam

JF-Expert Member
Jan 5, 2011
845
165
Yale makomondoo yaliingizwa na cdm kule Igunga bado yapo nchini? Au ndo siasa za magamba kuwahadaa wananchi ili wasijitokeze kwa wingi kupiga kura? Polisi wameshindwa kuyakamata da ama kweli cdm imeizidi akili serikali.Tunasubiri tamko la polisi
 
Hii nchi bwana kubwabwaja tu ili mradi upate unachotaka

Sijui usalama wa taifa wako wapi kulichukulia hatua jambo kama hili.....

Sijui ni lini serikali itaanza kuchukulia mambo serious maana hili sio jambo la CHADEMA, CCM wala Kikwete, hili ni jambo la usalama wa taifa lakini wamefyata mikia utafikiri mijibwa koko ugenini kwa watu......serikali imekufa jamani, haipo in short, huwezi kuropoka hivi kwenye nchi makini halafu ukaachwa............

Sitashangaa keshokutwa mtu akitaka manufaa yake akaamka na kutangaza raisi kafa na hajafa na bado akaachwa kutembea kifua mbele kama dume la nyani mwituni
 
Hii nchi bwana kubwabwaja tu ili mradi upate unachotaka

Sijui usalama wa taifa wako wapi kulichukulia hatua jambo kama hili.....

Sijui ni lini serikali itaanza kuchukulia mambo serious maana hili sio jambo la CHADEMA, CCM wala Kikwete, hili ni jambo la usalama wa taifa lakini wamefyata mikia utafikiri mijibwa koko ugenini kwa watu......serikali imekufa jamani, haipo in short, huwezi kuropoka hivi kwenye nchi makini halafu ukaachwa............

wakiri mbele ya vyombo vya habari kuwa zile zilikuwa Siasa uchwara na waombe radhi kwa watanzania kwa kuwadanganya
 
Back
Top Bottom