Makinika! Sio kila changu ni binadamu

Mi kuna kitu sijuagi kama nikweli naomba kuelimishwa. Eti mtu anayekula kitimoto na bia kila mara hawezi kuathirika na ushirikina? Na kwanini mtu akiwa amelewa ata apite sehemu hatarishi kwenye roho za kumdhuru hazimfanyi kitu? Naomba elimu hapa
Ushirikina haufanyi kazi kwenye vitu vyenye kasoro
Pesa iliyochanwa chanika mchawi hachukui au nguo ilichanwa/chanika
Mgonjwa au mlevi
Mlemavu nknk
 
Ushirikina haufanyi kazi kwenye vitu vyenye kasoro
Pesa iliyochanwa chanika mchawi hachukui au nguo ilichanwa/chanika
Mgonjwa au mlevi
Mlemavu nknk
Je vipi mtu ambaye anasumbuliwa na ivyo vitu mkamlisha kitimoto na bia za kutosha. Wajomba watakimbia au ndo watamuua
 
Negative mentality itakuuua.

Kama mtu akishiriki mapenzi na mtu X , iweje abebe laana tu na hashindwe kubebea Baraka ?
 
Ailambishe ugoro mota itawaka
 
Condom siku zote navua mwenyewe n kuflash...istoshe mbunye za kununua ni nuksi tupu
 
Hao kwenye redio story nyingi za kutunga,kwahiyo huyo jini alipata namba ya simu kijini[emoji16][emoji16]
 
Sasa si utakufa kwa presha humo chumbani
 
Mkuu umenitoa tongotongo. Nilikuwa sijui kama Tanzania tuna teknolojia kali namna hii. 🀣 🀣 🀣 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…