making a baby girl!

Katabazi

JF-Expert Member
Feb 18, 2007
353
19
Wana JF,
Naomba kupata msaada kama kuna mtu anayejua jinsi ya kuongeza chances za kupata baby girl au utaalamu kama upo!
Natanguliza shukurani.
Katabazi.
 
Do not force yourself into uncompasory deals. Just have confidence, and give nature that chance, it will drive you to where you want. That's all....!
 
Soma kitabu cha afya cha sister dr. Birigita na mumewe, wameeleza vizuri sana juu ya majaribio hayo.
Nimeona watu wengi wamesaidika sana na kitabu kile, nadhani hata mimi!
Lakini, kabla ya yote MWEKE MUNGU MBELE!
 
Yani hiyo site ndo ina madetails ya hatari, na imeenda darasa la kufa!..huh!
Big up Preta 4 helping him, nadhani mwakani miezi kama hii ni ..ng'eeee..ng'eeee..ng'eeee

na atualike tukanywe masupu
 
Soma kitabu cha afya cha sister dr. Birigita na mumewe, wameeleza vizuri sana juu ya majaribio hayo.
Nimeona watu wengi wamesaidika sana na kitabu kile, nadhani hata mimi!
Lakini, kabla ya yote MWEKE MUNGU MBELE!

Thank you PakaJimmy,Mungu yuko mbele!Hicho kitabu nakipata wapi kama unaweza kunisaidia tu ili nikitafute!Natanguliza shukurani.
 
thank you pakajimmy,mungu yuko mbele!hicho kitabu nakipata wapi kama unaweza kunisaidia tu ili nikitafute!natanguliza shukurani.
utakujakumbuka maneno yangu: Mtoto ni mtoto awe wa kiume au wakike,ukibagua au kupanga ninauhakika utakuja juta baadae kwa nini ulimtaka wa jinsia hiyo.huwezi amini,lakini utakuja amini some years to come/hapo baadae...............itakula kwako tu.sijui kwa nini nasema haya,any way tusameheane. My statement stands still.
 
Ndio maana ya Forum-mbona kama unanilaani,unaposema 'utakujakumbuka maneno yangu.......' ,iliwahi kukutokea unajuatia au umetoa wapi ushuhuda huo.Kama siendi kutambika sijaona ubaya wake nisaidie kabla sijaingia huko-ulipatwa na nini ndg yangu?mimi sijabagua ndio maana ninao wavulana 6,ninachotaka kama kuna uwezekano wa kutumia elimu tuliyopewa na mungu kwanini nisiitumie?Na kwanini unataka tukusamehe umefanya kosa gani?wakati unatoa ushuhuda?
 
Preta you are a wonderful wo(man),thank you so much!.I wish I could pay you for this valuable info. 6 Boys no girl is too much-ahahaaaha, . I will come back 2u next yr with the results!Katabazi!

karibu
 
Back
Top Bottom