Makinda: wamekataa kujiuzulu

Makinda: wamekataa kujiuzulu

Dawa ya kuisafisha CCM ni kuacha kulindana. Lakini hata hivyo kuna vijana wanakivuruga chama chao kwa ushabiki wa wagombea urais au maslahi fulani na hapa hawaelewi kitu maana wapo tayari hata kuhalalisha haramu
 
We ---- kweli yaani watu wameiba afu unasema hakuna sababu ya msingi ---- wewe tena ---- la mamako na kufungiwa humu JF nifungiwe tu sio kushuhudia jitu linatetea upuuzi wa aina hii acha ushoga ---- we,mapenzi ya kisenge kutetea upuuzi wa kijinga namna hii ---- we

Sasa bwana Ronaldo unataka kujishushia heshima na hadhi kwa watu ambao tabia zao ni za kutetea mafisadi na kulipwa buku saba Lumumba kila wakitoa mchango wa kutetea chama chao au kutetea fisadi mtandaoni. Nao wanaoishi kwa namna hiyo wapo wengi humu jamvini. Utawakuta hata kwenye viwanja vya bunge wakisubiri mabosi wao wawatume magazeti, kupeleka viatu kungarishwa na kutoa photo copies na jioni kuachiwa elfu kumi. Kwa hiyo kubishana nao haina maana kwani hizo ndizo ajira zao na sio kweli kuwa hawauelewi ukweli wa wanayobishania ila hawana jinsi.
 
Kuwajibika bila sababu za msingi ni mpuuzi mtu hawezi kuwajibika pasipo sababu za msingi.

mimi nimependa avator yako.Kwa akili yako unafikiri unamponda Mbowe kumbe unampromote.kwa hiyo kila post yako itaonekana picha ya Mbowe.unafikiri wangapi wanasoma na kuelewa maana ya mr zero uliyobandika kifuani mwake.

Hivi nyie mnasomeaga vyuo gani lakini? ilishaelezwa kuwa vijana wengi wa siku hizi wanatumia nguvu nyingi kueleza mabaya ya CCM kumbe wanaipamba na wengine wanatumia muda mwingi kueleza mabaya ya CHADEMA kumbe wanaipamba. someni hata kupitia google namna ya kufanya propaganda za vyama vyenu.

Vinginevyo ni aibu Simiyu Yetu
 
Last edited by a moderator:
Kuwajibika bila sababu za msingi ni mpuuzi mtu hawezi kuwajibika pasipo sababu za msingi.

Sijakuelewa ila kama hujaona sababu za msingi naomba uwe kama Lusinde na ulaumu ambao hawakukupeleka shule. Ila bila shule u can read na kuelewa so weka uchama pembeni na utumie bongo
 
Wasipojiuzulu itakuwa bonge la pointi kwa upinzani against CCM katika uchaguzi mkuu mwakani. We waache wacheze cheze makida tu...
 
Mkuu nafikiri kabla ya kupeleka azimio hilo la kutokuwa na imani na raisi, wange anzia kwa mwenyewe spika inavyo onekana anawalinda sana! jana alichukua muda mrefu akidai eti anatafuta lugha nzuri ya kupeleka. neno tunapendekeza au tunashauri si lugha ya kawaida tu ambayo hailazimishi na haina chembe yoyote ya kuingilia state? huyo mama kaisha ambiwa awalinde wezi tu. ni vema wambunge apige kura ya kutokuwa na imani naye kwenye mahamuzi haya kabla ya rais
Wazo zuri lakini nimesema Mr. Dhaifu kwasababu Makinda anajaribu kulinda wezi kwa kisingizio cha kukosana na mhimili uliojaa wezi , wala rushwa na mafisadi.
View attachment 206597
 
Wasipojiuzulu itakuwa bonge la pointi kwa upinzani against CCM katika uchaguzi mkuu mwakani. We waache wacheze cheze makida tu...
Itakuwa hivyo kama tu wapinzani wasiposhiriki hivi vikao batili nyuma ya pazia vya kutetea wezi.
 
Najua wewe hata ukimfumania mkeo analiwa uroda na prof muhongo bado utabisha hata kama mkeo atakiri kwamba kaliwa.

Natoka hapa bwana, huyo ni mdada hawezi kumfumania mkewe bali mumewe akiwa na chombo kipya
 
Hii ya saivi ndio shida waliyokuwa wanaikwepa ccm kabla kuingiza ile report bungeni. nasa ndio tukumbule pale Muhongo aliposema ardhi ya Tanzania itatikisika kama ikibidi kuachia ngazi
:confused2:
 
We ---- kweli yaani watu wameiba afu unasema hakuna sababu ya msingi ---- wewe tena ---- la mamako na kufungiwa humu JF nifungiwe tu sio kushuhudia jitu linatetea upuuzi wa aina hii acha ushoga ---- we,mapenzi ya kisenge kutetea upuuzi wa kijinga namna hii ---- we

mkuu uko sawa kweli au una matatizo maana katoa mawazo yake wewe unafyatuka matusi.una matatizo gani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom