Makinda: wamekataa kujiuzulu

mpambe

Senior Member
May 16, 2013
133
195
Jana baada ya kubanwa sana spika Makinda alitoboa siri ambayo sidhani kama alitarajia.. Kuwa watuhumiwa wa escrow wamekataa kujiuzulu kama walivyofanya Lowassa, Maige, Jairo na wengine.
 
maganjwa

JF-Expert Member
Sep 11, 2012
2,324
2,000
wanakataa kujiuzulu kwa sabab wanaona biashara bado inaendelea na ufisadi haujapata dawa yake na watu walioshiriki ni wengi wanaona wao wawe kafara wakati kuna stelling kaachwa? ni hiv jambo hili lilitabiriwa na nyerere kitambo na aliliona ndio mana katoa tahadhar nyingi hawakusikia. na mimi nasema wakikomaa na msimamo wao na wapinzani wakaondoka wamekwisha kwa sabab wapinzani wataenda kuwashitaki kwa wananch jambo ambalo ni hatar zaidi ya kukubali kuachia ngaz kwa viongoz wa serikali.
 
TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
15,867
2,000
ndiyo maana fyomuleisheini zilikuwa nyingi .....kumbe alikuwa anatupa ujumbe sisi hatukujua...!
 
Sep 18, 2014
89
0
Kuwajibika bila sababu za msingi ni mpuuzi mtu hawezi kuwajibika pasipo sababu za msingi.
We ---- kweli yaani watu wameiba afu unasema hakuna sababu ya msingi ---- wewe tena ---- la mamako na kufungiwa humu JF nifungiwe tu sio kushuhudia jitu linatetea upuuzi wa aina hii acha ushoga ---- we,mapenzi ya kisenge kutetea upuuzi wa kijinga namna hii ---- we
 
kbosho

JF-Expert Member
Jun 4, 2012
13,026

mkuu msamehe bure.
 
Mjuukum

Senior Member
Nov 4, 2014
164
0
Upumbavu wako ucfikiri kila MTU anapenda issue kama hii unasema kuwa co sababu ya mcng cna uhakika kama jincia yako hujaibadilisha
 
bantulile

JF-Expert Member
Feb 27, 2012
1,573
1,250
Hata kama wabunge wa CCM wakikomaa na msimamo wa kutaka watuhumiwa wajiudhuru, huo msimamo sio msimamo wa kweli ni msimamo wa kutafutia kura katika uchaguzi wa 2015. Watanzania wasidanganyike kaniki haitati. Uchaguzi ukipita mambo ya ufisadi yataendelea kama kawa. Hakuna mkweli kati ya wote hao ni unafiki kwa kwenda mbele.
wanakataa kujiuzulu kwa sabab wanaona biashara bado inaendelea na ufisadi haujapata dawa yake na watu walioshiriki ni wengi wanaona wao wawe kafara wakati kuna stelling kaachwa? ni hiv jambo hili lilitabiriwa na nyerere kitambo na aliliona ndio mana katoa tahadhar nyingi hawakusikia. na mimi nasema wakikomaa na msimamo wao na wapinzani wakaondoka wamekwisha kwa sabab wapinzani wataenda kuwashitaki kwa wananch jambo ambalo ni hatar zaidi ya kukubali kuachia ngaz kwa viongoz wa serikali.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom