Makinda: wamekataa kujiuzulu

Wapeleke Azimio la kutokuwa na imani na Rais tuone kama watakataa kujiuzulu hao wezi.


Huko ni mbali!
Jibu ni rahisi.linapendekeza na si kuazimia-na hili au mamuzi hayo hayana harufu anayodai Makinda ya kuingilia Mamlaka ya Raisi.
Kufanya hivyo kumpa Raisi kufanya maamuzi sahihi- Yupi anondoka moja kwa moja au yupi arudi kwenye kundi baada ya kuvunja Baraza la Mawaziri.


Bunge linapendekeza kwamba Mamlaka ya Uteuzi itengue uteuzi wa nafasi ya uongozi na utendeji ya Viongozi na Watendaji walioshiriki katika uzembe huu au kwa kushindwa kuchukua hatua kujua au kuto juu katikati sakata nzima la mgogoro wa Escrow Akaunti iliyokuwa BOT ,kwa kadri kamati ya PAC ilivyo wasilisha taarifa ya ushiriki wao kupitia taarifa ya CAG na PCCB.Na kwa maana hiyo basi watajwa wanaopendekezwa katika pendekezo hili ni kama ifuatavyo.

1.PM
2.Waziri wa Nishati
3.Naibu waziri wa Nishati
4.Katibu Mkuu Nishati
5.AG


Kuna hili la Waziri Prof.Tubaijuka.

Bunge linapendekeza kwamba kuhusiana na Waziri ambaye ni sehemu ya Serikali (Baraza la Mawaziri) kuchukua kiasi cha pesa za Kitanzania 1.6bl na amekiri kufanya hivyo basi Mamlaka ya Uteuzi ipate kushauriwa na vyombo husika vya Serikali vya kichunguzi kuona kama kuliwa na vitendo vya uvunjifu wa Sheria na kama itadhihirika, hivyo basi hatua ya kutengua uteuzi wake ichukuliwa na hii ikiwa ni pamoja na kumfikishwa mbele ya Vyombo vya Sheria.



Hakuna namna nyingi labda wabaki ndani ya bunge wanaowatetea wazembe na wapitishe mapendekezo yao.
 
Kuna haja ya kupima akili za watu.....hili mbona liko wazi tu waachie ngazi ili kulinda hadhi ya serikali
 
Wasipo wajibika ndo vizuri, wakiwajibika watashinda hii mechi, sababu imeshafika wakati naona wao ni kulinda maslahi. Ukweli watanzania wameshaujua, na baadhi ya mijizi inajulikana, hivyo sio mbaya kama watakataa kujiuzilu.
 
ndiyo maana fyomuleisheini zilikuwa nyingi .....kumbe alikuwa anatupa ujumbe sisi hatukujua...!

Ndio maana yake mkuu.. Pale alikuwa anavuta muda tu..na alishukuru Sana mbowe kusimama na kugomea kuendelea..alishachoka.
 
Mkuu hii library yako imejaza reference za maana tupu, safi sana

Mpwa Elli ni hasira tuu. Na hawa jamaa bila reference ni wagumu kukubali. Tena washukuru tuna staha hivyo kuna vingine hatuvitoi kwa kuheshimu maadili ila kwa yale ya jana ya kunifanya nikae nyuma ya luninga mpaka saa tano wakati mama yeyoo alionyesha dhahiri ananihitaji faraghani nami nampotezea ili nione haki ikitendeka, basi staha imebakiza sehemu ndogo sana.
 
Last edited by a moderator:
Wapeleke Azimio la kutokuwa na imani na Rais tuone kama watakataa kujiuzulu hao wezi.

Mkuu nafikiri kabla ya kupeleka azimio hilo la kutokuwa na imani na raisi, wange anzia kwa mwenyewe spika inavyo onekana anawalinda sana! jana alichukua muda mrefu akidai eti anatafuta lugha nzuri ya kupeleka. neno tunapendekeza au tunashauri si lugha ya kawaida tu ambayo hailazimishi na haina chembe yoyote ya kuingilia state? huyo mama kaisha ambiwa awalinde wezi tu. ni vema wambunge apige kura ya kutokuwa na imani naye kwenye mahamuzi haya kabla ya rais
 
We ---- kweli yaani watu wameiba afu unasema hakuna sababu ya msingi ---- wewe tena ---- la mamako na kufungiwa humu JF nifungiwe tu sio kushuhudia jitu linatetea upuuzi wa aina hii acha ushoga ---- we,mapenzi ya kisenge kutetea upuuzi wa kijinga namna hii ---- we

Mkuu nakuunga mkono,huyo jamaa sijui ni raia wa wapi,ana mambo ya kis....nge sijawahi ona. Kama mwanamke wa ccm vile,viti maalum nn mwenzetu?
 
Mpwa Elli ni hasira tuu. Na hawa jamaa bila reference ni wagumu kukubali. Tena washukuru tuna staha hivyo kuna vingine hatuvitoi kwa kuheshimu maadili ila kwa yale ya jana ya kunifanya nikae nyuma ya luninga mpaka saa tano wakati mama yeyoo alionyesha dhahiri ananihitaji faraghani nami nampotezea ili nione haki ikitendeka, basi staha imebakiza sehemu ndogo sana.

Hahahahahaaaaa basi Mpwa wangu
 
Last edited by a moderator:
Jana baada ya kubanwa sana spika Makinda alitoboa siri ambayo sidhani kama alitarajia.. Kuwa watuhumiwa wa escrow wamekataa kujiuzulu kama walivyofanya Lowassa, Maige, Jairo na wengine.
Kwani hao nao walikubali bila shinikizo! Nafikiri alikuwa anatafuta pa kutokea tu. kwa ushahidi ule Dunia itatushangaa wasipoondoka. Kwa heshima yao, ya chama chao na nchi wanatakiwa kuwajibika bila shuruti. Wakikataa tunajua kuna kitu kinawapa kiburi.
 
Kuwajibika bila sababu za msingi ni mpuuzi mtu hawezi kuwajibika pasipo sababu za msingi.

We ndio mpuuzi usiye na haya kutetea wezi wakati wananchi wanachangishwa kwa ajili ya maabara wakati kuna mabilioni yanatafunwa na majambazi yanayohalalisha ujambazi wao kupitia ofizi za umma. hivi ukiwa mwanachama wa ccm ni lazima kutetea uovu hata kama macho yako yanaona ni uovu?
 
Mh Werema Jana alisaidia pale aliposema
.wabunge washughulike naye maana ni yéyé (werema)aliruhusu pesa zitoke..nadhani waanzie hapo.
 
Wanapata kiburi cha kujiuzuli kwa sababu mukulu naye kapiga hizo hela, hizo ndio za jk, wanapiga wote then anatoa wenzake kafara.
 
Jana usiku neno lililoniudhi kuliko yote yaliyosemwa mjengoni ni Formulation, waheshimiwa wabunge hapa nisaidie namna ya kupata fomulashen, daah hamna kitu kibaya kama ku- negotiate na mwizi. Haya mheshimiwa Andru Chenge!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Wanakataa kujiuzuru kwa kuwa baadhi ya fedha hizo zimeingia CCM na ndio anazotumia Kinana na Nape katika Ziara zao na pia kupitia akaunti ya Stanbick Bank ndiko wale wakubwa wa nchi hii walichukua fedha kupitia huko sasa wanaona kama wanaonewa na wanawaza na kujiuliza ni kwa nini yule muhusika mkuu aliyeidhinisha fedha hizo zitoke eti kwa ushauri wa AG yeye atakiwi kujiuzuru?
 
Back
Top Bottom