Hapo kwenye RED, nimecheka hadi basi, kumbe huyu mama huwa anamind sana bwana Tundu, haa, kumbe ndo maana hata safari ya Japan walienda wote, anajua kuwa jamaa ni kichwa ila basi tu itikadi yake ya kimagamba ndo inamzuia kumpenda hadahrani.....1) habib mnyaa
2) anna makinda
3) hamadi rashidi mohamed
4) selina kombani
5) jussa ladhu (spelling correction allowed)
6) . . . . .
7) . . . . .
8) . . . . .
Tukumbushane hivi Werema hajawahi tumbukia kwenye shimo alichimbalo kweli?
Please do me a fever niwekeeni ile pic. Makinda akicheza muziki na Tundu Lissu!
Hapo kwenye RED, nimecheka hadi basi, kumbe huyu mama huwa anamind sana bwana Tundu, haa, kumbe ndo maana hata safari ya Japan walienda wote, anajua kuwa jamaa ni kichwa ila basi tu itikadi yake ya kimagamba ndo inamzuia kumpenda hadahrani.
Hapo kwenye Blue, hao wazenji mi naonaga ni wanafiki tu, akisema mtu wa CDM hata kama kitu hicho hicho ndicho wanacho kikubali utawasikia wana jifanya kukataa kweli but muda kidogo ukipita watasema vile vile, kwao sio hoja ila nani katoa hoja ndo ishsue, ni kama Magamba tu.
Kwa umri ule kuishi bila mume unadhani atakuwa ni mwanamke wa namna gani?
umenena, wanajf wanazunguka zunguka tu ,matatizo yote yananzia hapo!!Kwa umri ule kuishi bila mume unadhani atakuwa ni mwanamke wa namna gani?
mkuu huyu spika wa bunge la tanzania ni mcha mungu, haihitaji msaada wa mume.kwa umri ule kuishi bila mume unadhani atakuwa ni mwanamke wa namna gani?
Please do me a fever niwekeeni
Mmmhhh. Kingereza waachieni waingereza wenyewe
Ni pale aliposhindwa kuunganisha zanzibar na tanganyika kwa kuwatenga wahanga takribani 280 wa ajali ya meli kuzama kanakwamba ni "wazanzibari" mbaaaaaaali kabisa kuleeeeeeeee, na si chamwino wala karibu na dodoma (bara)!!!!
Akakataa hoja ya HAMADI RASHIDI mbunge kutoka zanzbar, kulitaka bunge liahirishe shughuli zake kutokana na kadhia hiyo na kukubali Emanuel Nchimbi mbunge na waziri kutoka bara aichomoe hoja mezani ili kulinyima bunge shughuli ya kufanya na kupelekea kuahirisha, ieleweke hapa kuwa bunge lilikosa cha kufanya, hapakuwa na hoja mezani!!!!!!!!
Kwa wasiofahamu, watambue sasa kuwa Tundu Lissu (munyampaa) alipata kuliambia bunge kuwa muungano wetu ni dhaifu kuliko wakati mwingine wowote wa historia ya tanzania,
HEBU ONENI UDHAIFU HUU KUTOKA KWA KIONGOZI MKUU WA MUHIMILI!!!
Wafuatao walimpinga tundu lissu hadharani kwa nguvu na vijembe vikali hadi kufikia habib mnyaa kutafsiri jina tundu lissu "kizenji"
1) habib mnyaa
2) anna makinda
3) hamadi rashidi mohamed
4) selina kombani
5) jussa ladhu (spelling correction allowed)
6) . . . . .
7) . . . . .
8) . . . . .
Tukumbushane hivi Werema hajawahi tumbukia kwenye shimo alichimbalo kweli?
Please do me a fever niwekeeni ile pic. Makinda akicheza muziki na Tundu Lissu!
Yanayojiri baada ya MNYIKA (MB) kufika Polisi Singida!
weeweee, Lissu anamchezesha makinda muziki wa "muungano ni dhaifu saaana" makinda anaonekana kuufurahia sana!!!!