Mimi siku hizi nimekuwa situmii sana make-up nadhani kwa "necha ya kazi yangu" lakini nina products za black-opal kwa table yangu ya chumbani,.
Na huwa natumia kwa mitoko hasa ya jioni kama sherehe hivi,na huwa naitoa kwa kutumia mafuta halisi ya nazi kwa kutumia pamba laini....ni mwiko kwangu kulala na make-up...