bachelor sugu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,689
- 3,651
Mkuu Mufindi sijafika japo nimepita sana Mafinga nahisi panafanana sana kwa hali ya hewa
Ulifika tewe nini mkuuIla nlikuwa nilienda milima ya usambara juu huko nao Wana baridi ila makete ni balaa
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Nlifika lutindi,kana,tamota,kiete,bungu,Ulifika tewe nini mkuu
Mufindi haijazidi makete, ndio maana miti inastawi zaidi mufindi kuliko makete
Mpaka leo bado connection ya watu wa kule na ujerumani bado ipo sana yaani vikundi vya kwaya kila kukicha trip za ujerumani hazikatikiNdiyo maana Wajerumani walikupenda sana. Baridi inapungua sasa na joto linaanza . December Dar ukipanda gari lenye kiyoyozi hutaki kushuka.
Hahahaha kweli sasa hv ni kupanda mbegu tuπππ naona uko na heater hapo pembeni ili ulikomoe hilo baridi....... Anyway kwa huko huu ndo msimu mzuri sana wa kilimo cha watoto