Makerere Vs UDSM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makerere Vs UDSM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mmakonde, Feb 22, 2010.

 1. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #1
  Feb 22, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Pamoja na matatizo ya kisiasa Uganda,kutoka Obote,Idd Amin, Binaisa hadi Museveni,kitu kimoja ambacho Makerere Uni wanacho ni kutoingiliwa kisiasa na any government.Kimebaki chuo pekee ambacho elimiu ni elimu.Kutana na graduate wa law,medicine toka Makerere utaniambia vizuri.

  Suala la kumkataa Prof Baregu wa UDSM ni cha kushangaza sana.Ina maana only YES men hapo UDSM ,ambao wako tayari kukubali kila kitu cha govt ndio watabaki.

  Elimu yetu inadidimia kwa namna hiyo maana mediocre tu tunawakubali so long hawawezi kuikosea serikali hata ufisadi wa namna gani.Ndio maana tunawahusudu
  watu wenye Phd feki toka vyuo vya kihuni.
   
 2. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #2
  Feb 22, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Vipi Dr Lenny Kasoga?nae ni kama Prof Baregu?
   
 3. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #3
  Feb 22, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,517
  Likes Received: 7,271
  Trophy Points: 280

  Tanzania kila kitu NI SIASA
   
 4. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #4
  Feb 22, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  unaushahidi?
   
 5. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #5
  Feb 22, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 12,077
  Likes Received: 4,450
  Trophy Points: 280
  Mmakonde, Baregu alikuwa ni sehemu ya tatizo! UDSM. kama maprofesa na ma-Dr. wengine walivyo

  kuthibitisha hilo, maprofessor waliobaki UDSM ni matatizo yaliyobaki

  haiwezekani tatizo likatatua tatizo!

  yaliyompata Baregu yalitegemewa na walikaa kimya, yanawala, kesho atatokea profesa mwingine, wala haitakuwa ajabu.

  kwa muda mrefu sasa maprofesa wa vyuo vikuu wamekuwa kimya kuhusu maslahi ya taifa kuanzia vyuoni mwao,

  uwepo wa Mkandara ulibarikiwa na wao akina Baregu, bila kujali JK kamweka pale kwa lengo lake, sasa maprofesa wasipoona mbali je raia wa kawaida!
   
 6. mnyikungu

  mnyikungu JF-Expert Member

  #6
  Feb 22, 2010
  Joined: Jul 26, 2009
  Messages: 1,622
  Likes Received: 1,093
  Trophy Points: 280
  mana ake wanatuambia tuwe vibaraka wa serikali hata kama inakosea ndio maana watu kama wakina baregu wamedagwa eti wasije kutufundisha nidhamu mbovu ya kuikosoa selikali, wanajisumbua bure hata bira baregu tutapaza sauti zetu tu
   
 7. K

  Kibongoto JF-Expert Member

  #7
  Feb 23, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Nilifikiri unaongea ktk nyanja za kielimu kumbe unadiscuss siasa mkuu? Hivi wewe zile fujo za Makerere/migomo ya wahadhiri mpaka ikapelekea chuo kile kufungwa kwa muda ulijua chanzo chake kweli? Au unapelekwa kwa hisia tu badala ya kuwa na facts.
   
 8. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #8
  Feb 23, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,486
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Tru dat
   
 9. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #9
  Feb 23, 2010
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  JK alimnyakua Prof Mukandara from nowhere na kumfanya VC?

  Kama sivyo, ni mchakato gani unatumika kumpa VC UDSM?
   
 10. bona

  bona JF-Expert Member

  #10
  Feb 23, 2010
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 3,794
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  udsm ranked 10th in africa while makerere is ranked 28th in africa, i think you have the ans! i agree with you that we are heading in bad directions with too much politics in education sector but what i don agree with you is makerere is not any better to udsm!
   
 11. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #11
  Feb 23, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 12,077
  Likes Received: 4,450
  Trophy Points: 280
  Kuna majina yanapelekwa kwa rais, na katika hayo la Mkandara lilikuwemo, kwani wazee wale walijua JK lazima atalihitaji. Kuna marais waliopita ambao hawakuwa na uhusiano wa karibu na ma-VC , unafikiri anapataje au anajuaje kuwa amteue fulani?

  Kilichotokea ni kuwa kulikuwa na vita baridi siku nyingi ya kwa nini wahandisi wanaongoza chuo, walipokuja hawa akina Mkandara, maprofessor wa arts, social n.k walifurahi kwa sababu mainjinia hawapo tena(japo muda wao uliisha), furahi furahi ile ndio imekuwa haya!

  Mtu ambaye inasadikika alitakiwa awe VC kwa nguvu zote na baraza la chuo, ambaye jina lake lingeenda kwa JK alikuwa ni marehemu Chachage, ambaye naye kifo chake kwa mimi jirani yake kina story nyingi sana!

  Kuna makosa mawili hapa, waliopeleka majina walipeleka wakijua kabisa JK atampa Mkandara, lakini JK ana uhuru wa kusema hataki hao walete wengine, kama JK angekataa majina ya awali, jamaa hawa wateuzi wangekuwa kwenye wakati mgumu zaidi! njaa hii na kupata miradi ya serikali!

  Kuna story nyingi na mchakato hauko wazi, kama vile mafia au freemasons, ukiwauliza wanasema kama ulivyosema , JK mwenyewe kateua!! wakati si hivyo
   
 12. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #12
  Feb 23, 2010
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Yaelekea umpenda story na kuziamini.

  Rais anachagua majina aliyoletewa. Kama anainterest na jina moja kati ya aliyoletewa, basi atalichagua (Hata mimi ningefanya hivyo).

  Bila shaka kuna mchakato unaoanzia kwenye grass root ndio unapelekea jina husika kufika kwa Rais.

  Hadi jina kufika kwa Rais lazima kuna potential. Kama yanaenda majina mawili, basi majina yote yameshakubalika na Rais anatia mkono wake kuchagua ampendea, akiamua anaeweza fanya 'ana ana do'.

  When objectivity falls short even to people you respect their ideas most.
   
 13. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #13
  Feb 23, 2010
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Jaribu kutazanma tena webmetrics upya katika vyuo barani Africa ndio utaweza kuona jinsi gani UDSM ilivyo fanya vibaya mwaka huu yote ni migomo na siasa katika chuo hicho
   
 14. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #14
  Feb 23, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 12,077
  Likes Received: 4,450
  Trophy Points: 280
  sio mpenda story mimi ni sehemu ya story!

  unesena vyema mchakato unaanzia kwenye grass roots, sasa akina nani wanachakata haya majina na kupeleka kwa rais na nini ilikuwa nafasi ya hawa maprofesa! kuna vitu haviji bahati mbaya. Baregu alilala, ama wengine wanavyolala, na kuthibitisha hili, angalia wenzake wamefanya nini baada ya kuondoka Baregu!

  swala la kuchagua viongozi wabaya sisi wananchi tuna play role kubwa sana! kujipendekeza kwingi
   
 15. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #15
  Feb 24, 2010
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  Anhaaaa, well said; hivyo si sahihi kumlaumu Kikwete kum-appoint Mukangara kama UDSM VC.

  Wakulaumiwa ni hao stakeholders waliofanya jina la Mukangara likafika kwa president na wale waliomchagua Kikwete kuwa president.
   
 16. d

  damn JF-Expert Member

  #16
  Feb 24, 2010
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 585
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kwa kampeni aliyoifanya Mkandara na REDET yake kumkampenia JK, JK alihitaji kupelekewa majina au jina la Mkandara?

  Damn !!!!!!!!!!!
   
 17. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #17
  Feb 24, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 12,077
  Likes Received: 4,450
  Trophy Points: 280
  well said

  una akili sana weye!

  Tanzanian are genius ukimpigia ampeni mtu wanajua unataka nini! acha nicheke mimi!
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...