Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
Gari lenyewe baya hivyo
Kwani hao wa Makerere wanasoma sayari gani? Kuwa na 'innovative ideas' hakutegemei sana ukubwa au ubora wa elimu tu. Ni lazima uwe na akili ya kuona na kuhoji chanzo cha matatizo yanayoikabili jamii yako na kubuni ufumbuzi wake. Hata hao wa Makerere siyo kwamba hiyo gari iko sokoni inauzwa. La. Ni mradi wa majaribio ambao unaendelea kuboreshwa mpaka pale litakapoonekana linakidhi vigezo kama alivyohainisha MJIMPYA hapo juu.Tatizo siyo Maprofessa , tatizo ni mfumo mbovu wa elimu unaomjenga mtu kuwa mtumwa wa ajira badala ya Ubunifu!
Gari lenyewe baya hivyo
Hata VETA nao sabasaba walikuwa na gari linalotumia umeme, hivyo tusianze kulaumiana wakati hatuko informed.Hiyo nishati ya umeme inatokana na nini, hydro, diesel, steam au kitu gani? Tusije tukarudi pale pale. Hata hivyo tuwe na mazoea ya kutembelea mabanda ya vyuo vyetu vya nchini wakati wa maonyesho mbalimbali, mwaka huu DIT waliweka gari linalotumia gesi. Kama alivyosema Mjimpya, labda tulinganishe efficiency !
Kwani hao wa Makerere wanasoma sayari gani? Kuwa na 'innovative ideas' hakutegemei sana ukubwa au ubora wa elimu tu. Ni lazima uwe na akili ya kuona na kuhoji chanzo cha matatizo yanayoikabili jamii yako na kubuni ufumbuzi wake. Hata hao wa Makerere siyo kwamba hiyo gari iko sokoni inauzwa. La. Ni mradi wa majaribio ambao unaendelea kuboreshwa mpaka pale litakapoonekana linakidhi vigezo kama alivyohainisha MJIMPYA hapo juu.