Makelele ya ngoma usiku wa manane

Makelele ya ngoma usiku wa manane

My mee

Member
Joined
Jan 23, 2025
Posts
7
Reaction score
6
Wakuu habari zenu.

Hii ni saa nane kama kasoro dakika 10 usiku, Nimehstuka usingizini,Nimeshtuswa na makelele ya NGOMA .yaani ni kama kakikundi cha watu.

wanapita na wanaongea na wanapiga hiyo NGOMA.
Hiyo ngoma inakelele sijawahi sikiia.Ni kama wanapiga debe hivi.

Baada ya kushtuka.kimoyoni nikawa nawalaumu.
Kwa nn wapige makelele makubwa vile usiku.

Nikaamka nikaenda wash room nikarudi.

Kwa yale makelele ya NGOMA.ni kila mtu angeshtuka.ajabu watu wamelala fofofo.hata hawajatikisika.

Baadae ndo akili inanijia. Ni NGOMA ya kawaida au ni wachawi?🤣🤣

Sasa nikawa pia najiuliza.kama ni wachawi kweli.inamaana mimi niwasikie kweli.

Au ndo na mm wanataka kuniingiza huko🤣.nimeogopa sana.

Na hapa jirani.kuna mama wanasema ni fundi.

Na ndo malelele yameanzia hapo kwake 🙆🤦.
 
pole sana, Kwaida wachawi ukiwa mgeni wanatabia ya kuchokoza watu wakupime kama unanguvu za kumsumbua au huna.
Ushauri wangu usisumbuane nao, Ukiweza hama kama hali itakuwa inajirudia rudia.
Mwisho nifollow nakufollow
 
pole sana, Kwaida wachawi ukiwa mgeni wanatabia ya kuchokoza watu wakupime kama unanguvu za kumsumbua au huna.
Ushauri wangu usisumbuane nao, Ukiweza hama kama hali itakuwa inajirudia rudia.
Mwisho nifollow nakufollow
Asante.ntahama maana ndo mgeni
 
Back
Top Bottom