Hebu tuambie zile kelele za umeme wa gas na kuwa Bomba la gas likifika Dar mgao wa umeme utakuwa ni historia. Naona kile chama kilichosema kuwa umeme wa maji matatizo ni mabadaliko ya tabia nchi Leo hii kimewekeza fedha kibao kwenye mradi wa maji, je hayo mabadiliko ya tabia nchi yamefika mwisho? Je baada ya Bomba la gas kufika hapa Dar mgao wa umeme umeisha? Hebu tupime hicho chama kinasimamia Nini?Tumehamishwa Ukraine tumepekwa gaza, Je mnazisikia za Ukraine siku hizi ? Akili kichwani mwako. Na hapa tulikuwa na makelele ya Chadema na waarabu ,ikawa mpaka pa kutia mguu hakuna kila kitu ni bandari.
Je Chadema walikuwa wanatafuta kiki? Na kutaka kuwaburuza waTanzania kuwa nchi inauzwa kwa waarabu ? Hiki Chama ni hatari sana waliwakusanya mapadre na mashee wasiojielewa na kupanga uasi wa kuhakikisha Raisi samia au serikali ya CCM inapinduliwa au kuangushwa kabla ya uchaguzi mkuu ujao.
ilivyo ilihitajika hiki Chama kufutwa mara moja,leo hii wachochezi wote wamechawanyika baada ya mbinu zao za kuiangusha serikali kupigwa na chini,mkichaa kakimbilia Ulaya,Balaa kafungua chama chake na kengeza yupo yupo tu.
CCM oyee.
Mwambukusi mwenyewe kachoka.😁Makelele yameishia kwa mwambukusi
kachokeshwa soioMwambukusi mwenyewe kachoka.😁
Na pombe ya kimpumu😁kachokeshwa soio
Kuna mashirika kama World Vision kwenye interview unaulizwa vifungu vya biblia, Kabla ya kuanza kazi asubuhi mnafungua na maombiMwislam mtazania hana shida sababu washazoea kuishi na wakristo,sasa ukiimpa uyo mwarabu hutaajiriwa bandarin kama wewe siyo Muhammed, au asha n.k. si unaona hata kwenye mabasi yao,au taasisi zao yaan ni tatizo
Wenye kuagiza bidhaa mbalimbali na kutumia ile bandari mwaka mzima wanapiga makofi na kuusifu huu uwekezaji unaokwenda kupandisha thamani ya TPA na kurudisha mamia ya wateja waliohama kwa sababu za urasimu na ufisadi.Haina shida si mwawaona watz mazwazwa, twende tu
ukimnyooshea mwezio kidole ni kimoja tu ila vitatu vimekuelekea wewe mumesha jitazama nyie mupo dhidi ya waislamu na sielewi wamewakosea nini ilivyo bahati mbaya waislamu hawana wiongozi wakuwatetea tafakariMwislam mtazania hana shida sababu washazoea kuishi na wakristo,sasa ukiimpa uyo mwarabu hutaajiriwa bandarin kama wewe siyo Muhammed, au asha n.k. si unaona hata kwenye mabasi yao,au taasisi zao yaan ni tatizo
Sasa lile ni shirika la kikristo linalotoa misaada,kwahiyo kwahiyo kwahiyo wakishapewa banda itakuwa shirika la kisilamu SIYOKuna mashirika kama World Vision kwenye interview unaulizwa vifungu vya biblia, Kabla ya kuanza kazi asubuhi mnafungua na maombi
Sijasema mwisilamu nimesema mwarabu soma comment vizur ueleweukimnyooshea mwezio kidole ni kimoja tu ila vitatu vimekuelekea wewe mumesha jitazama nyie mupo dhidi ya waislamu na sielewi wamewakosea nini ilivyo bahati mbaya waislamu hawana wiongozi wakuwatetea tafakari
World Vision nani kakudanganya linatoa misaada,? Yanatoa mikopo ya riba. Halina uhusiano na ukristoSasa lile ni shirika la kikristo linalotoa misaada,kwahiyo kwahiyo kwahiyo wakishapewa banda itakuwa shirika la kisilamu SIYO