Kubwa la Maadui
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,014
- 15,868
Ngoja namimi niuanzishe mtaani kwetu😎Nilienda dukani kununua mahitaji ya hapa na pale leo wikiend, mara pap kapita boda kapakiza dada anamzigo kama wote, ghafla nikasikia wamama wauza vitafanwa na supu wanasema " YALE MAKEBO YATAVUNJA SPRING ZA BODABODA"
Nikatoka pale nacheka sana moyoni kwahyo huu msemo wa Makebo ushakua serious hivi?
Jumapil njema ndugu zetu walokole
Utapokelewa vyema ikiwa na wewe mwenyewe kama makebo unayo 😎Ngoja namimi niuanzishe mtaani kwetu😎
Ninalo moja kubwa kuliko jenzie😎Utapokelewa vyema ikiwa na wewe mwenyewe kama makebo unayo 😎
Mbona mnasagiana kunguni bwasheeKuna wakati mtoa mada alikuwaga na skendo anatongoza wanaume PM wamnyandue , vp uliacha ule mchezo?
Anyway,
Chizi Maarifa secretarybird eli -DEFIANT- cohen sio watu wa kuanza nao ligi, itakutokea puani😁😁 maana leo makebo akiitwa anahisi mtu anasema matakooo
Mtoa mada ni kunguni nina uhakika , wewe hauoni picha yake hapo Profile 😁😁😁Mbona mnasagiana kunguni bwashee
Huyu aishi kwa shemeji , amepangishiwa na bwana ake😁😁"niliagizwa dukani" toka hapo kwa shemeji yako katafute kazi ya kufanya,imagine dada yako anakunjwa chumbani we nae subureni unasikiliza.
Uwii🤣Kuna wakati mtoa mada alikuwaga na skendo kuwa anatongoza wanaume PM wamnyandue , vp uliacha ule mchezo?
Anyway,
Chizi Maarifa secretarybird eli -DEFIANT- cohen sio watu wa kuanza nao ligi, itakutokea puani😁😁 maana leo makebo akiitwa anahisi mtu anasema matakooo
Naungana na wewe😆Kuna wakati mtoa mada alikuwaga na skendo kuwa anatongoza wanaume PM wamnyandue , vp uliacha ule mchezo?
Anyway,
Chizi Maarifa secretarybird eli -DEFIANT- cohen sio watu wa kuanza nao ligi, itakutokea puani😁😁 maana leo makebo akiitwa anahisi mtu anasema matakooo
Unaongea ujinga unajua eeh..Mwanamke bila kalio ni sawa na chula asiye na makalio
This is more than vita aisee ila JF bwana😁😁Uwii🤣
Hivi mkuu huwa unapataje notif. za nyuzi kama hizi😁