Levels baby
JF-Expert Member
- Sep 26, 2019
- 832
- 770
Sheria zinawalinda kwani aliyepo humfahamu mbona muda mrefu angekuwa ashapindua meza kitambo sanaViongozi waliopita walikuwa chama kipi na hatua zipi zimechukuliwa ili uozo huo usirudiwe? Post namba ngapi ?
Ahaaa! Kwa hiyo mwisho umekiri kuwa kuna kulindana kwenye maovu... na watendao unawafahamu!!!Sheria zinawalinda kwani aliyepo humfahamu mbona muda mrefu angekuwa ashapindua meza kitambo sana
Akili huwa mnaziwekaga wapi nyie vichwa maji nimekuandikia kabisa "Sheria" sijui unaelewa...idiot rudi tena shuleAhaaa! Kwa hiyo mwisho umekiri kuwa kuna kulindana kwenye maovu... na watendao unawafahamu!!!
Mbona unapagawa mapema na muda bado mpendwa au kuhemkwa ndio jadi yenu?Akili huwa mnaziwekaga wapi nyie vichwa maji nimekuandikia kabisa "Sheria" sijui unaelewa...idiot rudi tena shule
Hayo maneno yenu wapinzani lakin huku kila kitu kinaenda kama kilivyopangwaMbona unapagawa mapema na muda bado mpendwa au kuhemkwa ndio jadi yenu?
Awamu hii mangapi yanafanywa bila kufuata katiba wala sheria ni kujitoa akili au unajisahaulisha?
Yatokee wapi mkuu?Mkuu ulishapata majibu ya hilo swali?
Kabisa aisee!!! Tunaona namna pamba na korosho zilivyolipa huku ajira za wahitimu vyuo zilivyo nje nje pia sukari ilishashuka toka 5000 hadi 1300 kama mlivyosema... mambo bambam.Hayo maneno yenu wapinzani lakin huku kila kitu kinaenda kama kilivyopangwa
Hawa jamaa huwa wako kama bisi (popcorn) hawatulii ni kurukaruka tu!!Yatokee wapi mkuu?
😂😂😂Hawa jamaa huwa wako kama bisi (popcorn) hawatulii ni kurukaruka tu!!
Mataga hoyeeeeKabisa aisee!!! Tunaona namna pamba na korosho zilivyolipa huku ajira za wahitimu vyuo zilivyo nje nje pia sukari ilishashuka toka 5000 hadi 1300 kama mlivyosema... mambo bambam.
mataga
Mataga ni wale vijana wenye njaa ya hela na chakula wanaolipwa kwa kumsifia Magufuli hata kwa mambo ya kibwege , ni vijana wenye maisha duni waliookotwa uvccm kwa ajili ya kutumika , sababu kubwa ya kutumika kwao ni dhiki ya elimu na uchumi , wako kama misukule inayotumwa kuloga watu ili kumridhisha anayewakirimu pesa ndogo na chakula , kiongozi wa kundi hili anaitwa Musiba
Utupe na kirefu chake kamanda, maana hata nyie taarifa zenu tunazo katika faili la Nyumbu!Mataga ni wale vijana wenye njaa ya hela na chakula wanaolipwa kwa kumsifia Magufuli hata kwa mambo ya kibwege , ni vijana wenye maisha duni waliookotwa uvccm kwa ajili ya kutumika , sababu kubwa ya kutumika kwao ni dhiki ya elimu na uchumi , wako kama misukule inayotumwa kuloga watu ili kumridhisha anayewakirimu pesa ndogo na chakula , kiongozi wa kundi hili anaitwa Musiba
Kwa tafsiri ya watu duni wa ccm Nyumbu ni watu wote wanaoikosesha amani ccm wanaopinga udikteta na utekaji kwa hoja ambazo zimekosa majibuUtupe na kirefu chake kamanda, maana hata nyie taarifa zenu tunazo katika faili la Nyumbu!