MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,693
- 21,765
nimepokea maoni yako,muda bado ninaoLabda nikuambie ukweli unaouma kidogo. Elimu ndio msingi wa kila kitu, bahati mbaya wewe MSAGA SUMU huna zaidi ya ujanja ujanja wa mjini, hivyo mijadala ya kuhitaji kufikirisha akili wewe unaingia off point kabisa na kujifedhehesha.
Hujachelewa waweza kujiendeleza. Ni maoni tuu waweza kuyafata au kuacha.
Ukumbuke wakati huo hivyo unavyosema vilikua vinamilikiwa na wahindi , wazungu na waarabu. Serikali ikavitaifisha. Havikutokana na juhudi za zetu kama waafrika na viongozi wetu.Nchi ilikuwa na viwanda!
Nchi ilikuwa inasaidia ukombozi wa nchi nyingine
Nchi iliwahi kuingia mashindano ya afrika
Nchi ilikuwa na ndege zake
Kwa ufupi nchi ilifikia mahala pazuri sana katika kujitegemea lakini ikarudi nyuma.
Ni kipi kiliirudisha nyuma mkuuNchi ilikuwa na viwanda!
Nchi ilikuwa inasaidia ukombozi wa nchi nyingine
Nchi iliwahi kuingia mashindano ya afrika
Nchi ilikuwa na ndege zake
Kwa ufupi nchi ilifikia mahala pazuri sana katika kujitegemea lakini ikarudi nyuma.
MATAGA means Make Tanzania Great Again
Mkuu ulishapata majibu ya hilo swali?Ni kipi kiliirudisha nyuma mkuu
Aribika... Kubirudisha... vitaridi... ti... walahi...True
Bado halija aribika jambo na kikubwa zaidi ya yote tuna AMANI YETU!
Kubirudisha hivyo viwanda ni lazima vitaridi tu tena ka kasi kubwa walahi
Nchi yetu hatuna haja ya kushindana na nchi yeyote duniani, bali kila kitu kita unfold itself walahi!
SERENDIPITY!
Alishapata walioiharibu ni viongozi waliopita na sasa inarudishwa kwenye muhimili wakeMkuu ulishapata majibu ya hilo swali?
Viongozi waliopita walikuwa chama kipi na hatua zipi zimechukuliwa ili uozo huo usirudiwe? Post namba ngapi ?Alishapata walioiharibu ni viongozi waliopita na sasa inarudishwa kwenye muhimili wake