You can interpret it in any way but it doesn't change the fact that ushoga ni ushetani.Observation inaonyesha kwamba waukataao ushoga kwa sauti kubwa ndiyo huwa mashoga haswa!
Wanachofanya ni ku project walivyo….
Watu wanapinga ushoga, sio kampuni wala bidhaa.
Ukisema bidhaa zina promote ushoga naweza kukuelewa kuacha matumizi yake.
Napinha ushoga kwa nguvu zote, mbona k zetu tamu mnataka nini huko mafirauni?
Tuache kutembeza bakuli...Mimi nashauri Tz ikate mahusiano ya kibalozi na nchi zinazo-support ushoga.
..Miaka ile Afrika Kusini ilipokuwa ikiongozwa na makaburu Tz iliususia utawala huo na tuliendesha kampeni dunia nzima kuupinga utawala huo.
..Pia Watz tulikuwa haturuhusiwi kwenda Afrika Kusini. Passport ya Tz ilikuwa na mhuri unaoleza kwamba mtumiaji hawezi kuitumia pasi yetu Afrika Kusini.
..Kwa hiyo serikali ipige marufuku Watz kusafiri ktk nchi zote ambazo zimepitisha sheria za kuruhusu ushoga.
..Pia tususie au tupige marufuku bidhaa zinazotengenezwa na makampuni yanayo-support ushoga. Tukinunua bidhaa toka makampuni hayo kwa namna moja au nyingine tunachangia kuendeleza ushoga.
..Tuanzishe utaratibu kwamba yeyote anayetaka ku-import bidhaa, mashine, mitambo, Tz lazima afanye declaration kwamba anachoingiza nchini hakijatengenezwa na makampuni yenye mashoga.
..Kuna masuala ya kijeshi na kiusalama. Tukate mashirikiano ya kijeshi au kiusalama na majeshi yote na vyombo vya kiusalama vilivyoruhusu ushoga.
..Kwa mfano, jeshi la Marekani linaruhusu ushoga. Kwa hiyo Tz tunatakiw tusitishe mahusiano na jeshi hilo. Tuanze kwa kumrudisha nyumbani mwambata wa kijeshi aliyeko ktk balozi zetu New York na Washington DC. Na muambata wa kijeshi wa Marekani aliyeko hapa arudishwe kwao.
..Kwasababu Tz tunapinga ushoga basi tuchukue hatua kali kama tulizochukua wakati tunapinga APARTHEID.
Mnanguvu sana watetea tope[emoji16]
Observation inaonyesha kwamba waukataao ushoga kwa sauti kubwa ndiyo huwa mashoga haswa!
Wanachofanya ni ku project walivyo….
That’s your opinion! Opinions are not facts.You can interpret it in any way but it doesn't change the fact that ushoga ni ushetani.
🤣🤣Ushoga hatuutaki na iPhone tutazitumia. Nyie machoko mkae mkijua ipo siku tutawatembezea mapanga mpotee kabisa tusiwaone. Mwanaume unakalia dudu ya mwanaume mwenzio alafu unakuja kujitetea na thread ndeeefu
Weee Nyani hata haueleweki unataka Nini.Yaani watu wakae kimya kwa jambo ambalo halikubaliani na misimamo yao kwa sababu tu Kuna bidhaa na upuuzi mwingine kutoka kwa hao mashoga?Wewe unaokubaliana nao endeleana msimamo wako,lakini waache wengine waseme msimamo wao juu ya ushoga.Observation inaonyesha kwamba waukataao ushoga kwa sauti kubwa ndiyo huwa mashoga haswa!
Wanachofanya ni ku project walivyo….
Nyie ni wanafiki tu!Weee Nyani hata haueleweki unataka Nini.Yaani watu wakae kimya kwa jambo ambalo halikubaliani na misimamo yao kwa sababu tu Kuna bidhaa na upuuzi mwingine kutoka kwa hao mashoga?Wewe unaokubaliana nao endeleana msimamo wako,lakini waache wengine waseme msimamo wao juu ya ushoga.
Ukimkataa shetani umkatae na mambo yake yote, kama huli ngurwe hata mchuzi wake usiguse.Watu wanachukia maadili mabaya, hawachukii vitu vilivyotengenezwa na watu wenye maadili mabaya
Watu watachukia bidhaa pamoja na kuisusia iwapo itakuwa ina alama ya kuhamasisha hizo agenda zenye maadili mabaya.
Mfano ukisoma historia ya ugunduzi wa computer na mambo ya software utaona yupo Alan Turing ambaye alikuwa ch**k, so ulisema tuishi katika mfumo wako unao suggest tutatakiwa tuache kutumia PC, kitu ambacho ukianza kukifikiria influence yake kwenye kuharibu maadili hukioni
Hakuna connection kati ya mtu kutumia bidhaa fulani na sexual orientation ya producer.Disclaimer:
Mtu hapa Tanzania unawezaje kuupinga ushoga kwa nguvu zako zote halafu kwa wakati huo huo utumie bidhaa za kampuni ijulikanayo kuongozwa na shoga bila ya kuwa mnafiki?
Please make it make sense….