Mtu hapa Tanzania unawezaje kuupinga ushoga kwa nguvu zako zote halafu kwa wakati huo huo utumie bidhaa za kampuni ijulikanayo kuongozwa na shoga bila ya kuwa mnafiki?
Kifupi, huna uwezo wa kiakili wa kuelewa nilichokiandika!Sasa matendo ya mtu yanahusianaje na vitu vyake??.
Vitu na matendo ya mtu ni mambo mbalimbali, mfano kama shoga ni Daktari bingwa je kwa huo ushoga wake wagonjwa wasiende kutibiwa kwake??.
Kifupi mada yako haina mantiki.
Mbona tunawaona wachezaji wakigomea kuvaa nembo za rainbowVipi kuhusu football ya Ulaya?
Ukisema hupendi wizi au mwizi haina maana ukiibiwa milioni 60 ususe kupokea hela zilizo okolewa kwa mwizi eti kwasababu alizishika na wewe hupatani na mwiziThen you are the embodiment of hypocrisy!
Kifupi, huna uwezo wa kiakili wa kuelewa nilichokiandika!
Duh!Ukisema hupendi wizi au mwizi haina maana ukiibiwa milioni 60 ususe kupokea hela zilizo okolewa kwa mwizi eti kwasababu alizishika na wewe hupatani na mwizi
Mfano unaelewa kuwa kiongozi wako ni fisadi na wewe hupendi ufisadi kwakua ni kitu kibaya kwako, so ina maana miundombinu ya barabara ambazo amejenga huyo kiongozi hutazitumia kwasababu kufanya hivyo itakuwa ni unafiki?
Una mtoto wako utakubali akae nyumbani asiende shule kisa hiyo shule imejengwa na fisadi lenye uloho wa madaraka?
Anhaa!! I got you exactly where I want you.Si unadai kupiga kelele dhidi ya ushoga humu ndani ya Africa hautoshi bali pia tuache kutumia bidhaa za makampuni yanayoongozwa na mashoga na ukatoa mfano wa bidhaa zinazotengenezwa na makampuni yanayoongozwa na mashoga, umedai kampuni ya i phone na Apple viongozi wao katika ngazi za juu hadi chini ni mashoga. Au mimi sijakuelewa??.
Mimi nahoji; Bidhaa zao au kazi zao zinahusikanaje na ushoga wao?? What has their homosexuality got to do with the products they produce??
Mbona tunawaona wachezaji wakigomea kuvaa nembo za rainbow
Anhaa!! I got you exactly where I want you.
What has two consenting adults life choices got to do with your life? Or you don’t have one?
Uamuzi wa hiari wa watu wawili wenye jinsia moja kufanya mapenzi wewe unakuhusu nini mpaka utokwe povu?I don't get you exactly what you mean, Could you please explicitly express it in a simple kiswahili ?!
Uamuzi wa hiari wa watu wawili wenye jinsia moja kufanya mapenzi wewe unakuhusu nini mpaka utokwe povu?
Ndo maana nikasema hujaielewa mada!Sina shida na uamuzi wa hao watu wawili na katika mada yako hujataja hao watu wako wawili na uamuzi wao wa ushoga, wewe umetaja vita ya ushoga huku Africa na ukaunganisha vita hiyo na bidhaa zinazozalishwa na makampuni yanayoongozwa na mashoga na hapo ndipo ni raise my concern kwamba; Matendo/tabia binafsi ya mtu yanahusikanaje na bidhaa anazozalisha??.
Nadhani ungeandika mada maalumu yenye kichwa cha habari; "UAMUZI WA WATU WAWILI WENYE JINSIA MOJA WEWE UNAKUHUSU NINI ?"-- hapo unitag na mimi nitatoa mawazo yangu lakini hapa siwezi kusema chochote kwani mada hii uliyoiandika haihusiani KABISA na swali hilo.
Ndo maana nikasema hujaielewa mada!
Nimezungumzia unafiki uliopo kwenye hizi nchi za Kiafrika kuhusu ushoga.
Nikatolea mfano kampuni ya Apple.
Wachangiaji wengine wameielewa mada.
Wewe inaonekana hujaielewa. Pengine si kosa lako. Huenda uko mgumu wa kuelewa mambo.
Pole.
Kama hujaelewa, just keep it movin’.Nieleweshe katika simple terms la sivyo andika mada yenye maudhui ya moja kwa moja kuhusu jambo hilo, why beating about the bush??
Kama hujaelewa, just keep it movin’.
I don’t have the time to dumb it down to your level.
Au hawajiamini, wanaogopa na wao kuwa mashoga kama vile unaambukiza. Kwa sasa ushoga umekuwa karata nzuri sana ya wanasiasa. Mseven anaitumia vilivyo.Observation inaonyesha kwamba waukataao ushoga kwa sauti kubwa ndiyo huwa mashoga haswa!
Wanachofanya ni ku project walivyo….
Hapo sawa. Sasa kwa nini watu wanapinga ufiraji tu hawapingi uzinzi ili hali wote hawataurithi ufalme wa Mungu?1 Kor 6:9-11
Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu... wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti...
Disclaimer:
I don’t care what two or more consenting adults do with regard to the choice of lifestyle they want to lead.
Now that we got that out of the way, please make it make sense!
LGBTQ rights are now the sociopolitical hot potato in these neck of the woods [ East Africa].
Raia wanatoa povu balaa. Kila mwenye kujiona ana umuhimu na kila mwenye kudhani akifungua mdomo wake na kutoa kauli, basi watu watamsikiliza, naye anatoa kauli yake ya msimamo wake kuhusu ushoga.
Maoni ya watu ni mengi na ni anuai. Kutoa maoni ni jambo jema kabisa.
Nilichokiona ni kwamba, kauli na sauti za kupinga mapenzi ya jinsia moja, ni nyingi na kubwa.
Ambacho sikielewi, hususan kwa wale wanaopinga hayo mapenzi, upingaji huo unaishia wapi?
Upingaji huo unaanzia na kuishia humu humu ndani ya mipaka ya nchi, au?
Kuna dhana inayoaminika kwamba mataifa ya nchi za magharibi ndiyo yanayo promoti hayo mambo ya ushoga huku kwetu.
Sasa katika kuukataa huo ushoga, inakuwaje kwa mfano, watu waendelee kutumia bidhaa za makampuni ya hizo nchi za magharibi ambayo yanajulikana kupromoti hayo mapenzi?
Mfano, iPhone zinapendwa sana Tanzania. Kampuni inayotengeza hizo bidhaa inajulikana wazi kabisa kuwa ina promoti hayo mambo.
Kampuni ya Apple ina mashoga wengi sana. Kuanzia juu kabisa [CEO] mpaka ngazi za chini, mashoga wapo.
Mtu hapa Tanzania unawezaje kuupinga ushoga kwa nguvu zako zote halafu kwa wakati huo huo utumie bidhaa za kampuni ijulikanayo kuongozwa na shoga bila ya kuwa mnafiki?
Please make it make sense….