Kurudi salama toka wapi tena?!Ningeshangaa sana kama ungerudi salama
HapanaHapo ndo ujue you are fighting a losing battle!
Umenena vema. WANAUME ndio wanaochochea ushoga. Wakiacha kupenda mlango wa uani ushoga utaisha lkn ukiwakuta kwenye hadhara wanavyolaani. Wakitoka hapo wanaenda kwa wake na wapenzi wao wanawageuza.Wanaume mkiacha kutifua tope, ushoga utapungua kama si kuisha.
Wanaume wakiendeleza na ushoga unaendelea.
Ushoga na biashara ya ukahaba, zinaendana bila wanaume kuacha hakuna kitu. Tutapiga kelele, tutaacha tumia hizo bidhaa ila hakuna kitu kitabadilika.
HAHAHAHAHAHAHABasi wanawake mjirahisishe ili wanaume tuache Kununua malaya.
Kwenye walawi pia imeandikwa hata mwanamke mchawi auawe!Walawi 20:13
“ ‘Kama mwanaume akikutana kimwili na mwanaume mwenzake kama vile mwanaume afanyavyo na mwanamke, wanaume hao wawili wamefanya lililo chukizo sana. Lazima wauawe; nayo damu yao itakuwa juu ya vichwa vyao wenyewe.
Shida waafrika wako sensitive na kuingiliwa sio kuingilia, hawajui hao wote wamelaaniwa
Hypocrisy is not a virtue.Hapana
Bidhaa kama simu kuihusisha na agenda za kich**k kwenye influence ya kuharibu maadili au kusapoti swala hilo naona haliko poa
I don't think it is hypocrisy as you sayHypocrisy is not a virtue.
Liking things that gays make and then turn around and moralize about how bad and how much you hate gays, ain’t it.
Shows to me [1] you’re not principled at all and [2] you don’t know what you want.
You’re just running your mouth and you’re in no position to lecture anyone on morality.
It is 💯 % hypocrisy.I don't think it is hypocrisy as you say
Uchafu ukiingia kwenye kapu toa, usitupe kapu
1 Kor 6:9-11Bantu Lady unasikitika nini? Kama mtu mzima kaamua kufirwa, what is that my bussiness hadi nianze kupinga!
Nonsense!
Watu wanachukia maadili mabaya, hawachukii vitu vilivyotengenezwa na watu wenye maadili mabayaIt is 💯 % hypocrisy.
Portia de Rossi and Ellen DeGeneresWapinga ushoga kwa sauti kubwa ni wanafiki tu.
Hivi kwa mfano Tim Cook au Pete Buttigieg wakija Tanzania watagomewa au kufukuzwa warudi kwao?
Unaweza kuupinga ukahaba wa dada yako halafu papo hapo ukazipokea hela zake zitikanazo na hiyo shughuli yake kwa bashasha na furaha?Watu wanachukia maadili mabaya, hawachukii vitu vilivyotengenezwa na watu wenye maadili mabaya
Watu watachukia bidhaa pamoja na kuisusia iwapo itakuwa ina alama ya kuhamasisha hizo agenda zenye maadili mabaya.
Mfano ukisoma historia ya ugunduzi wa computer na mambo ya software utaona yupo Alan Turing ambaye alikuwa ch**k, so ulisema tuishi katika mfumo wako unao suggest tutatakiwa tuache kutumia PC, kitu ambacho ukianza kukifikiria influence yake kwenye kuharibu maadili hukioni
Bidhaa hatupewi tunanunua kwa pesa yetuUnaweza kuupinga ukahaba wa dada yako halafu papo hapo ukazipokea hela zake zitikanazo na hiyo shughuli yake kwa bashasha na furaha?
Unaweza kuupinga ujambazi wa kaka yako halafu papo hapo ukayapokea matunda ya ujambazi wake kwa bashasha na furaha?
Unaweza kwenda kununua bidhaa kwenye duka la mtu ajulikanaye kwa ujambazi?Bidhaa hatupewi tunanunua kwa pesa yetu
Ndio nawezaUnaweza kwenda kununua bidhaa kwenye duka la mtu ajulikanaye kwa ujambazi?
Then you are the embodiment of hypocrisy!Ndio naweza
Kwamba tukipinga tususe kutumia na bidhaa zao? hilo sidhani kama linawezekana
Muhimu ni kupinga vile vitu ambavyo vinahamasisha (campaign agenda) kama product ina icon yenye kuwakilisha mach*"*"k then hiyo itapigwa vita
Ila sijaona tatizo kwenye devices kama simu labda watoe yenye rainbow flag ndio nitaona ina make sense
Watu wanachukia maadili mabaya, hawachukii vitu vilivyotengenezwa na watu wenye maadili mabaya
Watu watachukia bidhaa pamoja na kuisusia iwapo itakuwa ina alama ya kuhamasisha hizo agenda zenye maadili mabaya.
Mfano ukisoma historia ya ugunduzi wa computer na mambo ya software utaona yupo Alan Turing ambaye alikuwa ch**k, so ulisema tuishi katika mfumo wako unao suggest tutatakiwa tuache kutumia PC, kitu ambacho ukianza kukifikiria influence yake kwenye kuharibu maadili hukioni