TANZANIA itajengwa na Mungu mwenyewe,Disclaimer:
I don’t care what two or more consenting adults do with regard to the choice of lifestyle they want to lead.
Now that we got that out of the way, please make it make sense!
LGBTQ rights are now the sociopolitical hot potato in these neck of the woods [ East Africa].
Raia wanatoa povu balaa. Kila mwenye kujiona ana umuhimu na kila mwenye kudhani akifungua mdomo wake na kutoa kauli, basi watu watamsikiliza, naye anatoa kauli yake ya msimamo wake kuhusu ushoga.
Maoni ya watu ni mengi na ni anuai. Kutoa maoni ni jambo jema kabisa.
Nilichokiona ni kwamba, kauli na sauti za kupinga mapenzi ya jinsia moja, ni nyingi na kubwa.
Ambacho sikielewi, hususan kwa wale wanaopinga hayo mapenzi, upingaji huo unaishia wapi?
Upingaji huo unaanzia na kuishia humu humu ndani ya mipaka ya nchi, au?
Kuna dhana inayoaminika kwamba mataifa ya nchi za magharibi ndiyo yanayo promoti hayo mambo ya ushoga huku kwetu.
Sasa katika kuukataa huo ushoga, inakuwaje kwa mfano, watu waendelee kutumia bidhaa za makampuni ya hizo nchi za magharibi ambayo yanajulikana kupromoti hayo mapenzi?
Mfano, iPhone zinapendwa sana Tanzania. Kampuni inayotengeza hizo bidhaa inajulikana wazi kabisa kuwa ina promoti hayo mambo.
Kampuni ya Apple ina mashoga wengi sana. Kuanzia juu kabisa [CEO] mpaka ngazi za chini, mashoga wapo.
Mtu hapa Tanzania unawezaje kuupinga ushoga kwa nguvu zako zote halafu kwa wakati huo huo utumie bidhaa za kampuni ijulikanayo kuongozwa na shoga bila ya kuwa mnafiki?
Please make it make sense….
Wapinga ushoga kwa sauti kubwa ni wanafiki tu.Hahaaaaa....nasubiri maoni (na possibly, matusi na kejeli)
Hivi shoga ni yupi hasa? Anayemkula mwenzake au anayeliwa?Wanaume mkiacha kutifua tope, ushoga utapungua kama si kuisha.
Wanaume wakiendeleza na ushoga unaendelea.
Ushoga na biashara ya ukahaba, zinaendana bila wanaume kuacha hakuna kitu. Tutapiga kelele, tutaacha tumia hizo bidhaa ila hakuna kitu kitabadilika.
Si ajabu huna hata hiyo iPhone wewe 😀.Mm iPhone ganvu nimeitupa baada ya kusoma andiko lako hili
Wote hao ni mashoga, ndiyo maana wengine huwa tunamuuliza mwanaume kama ni straght 😄😄😄Hivi shoga ni yupi hasa? Anayemkula mwenzake au anayeliwa?
Maana wahusika wote wanashiriki kwenye tendo moja la kishoga.
Lakini kibongobongo inaonekana kama vile anayemkula mwenzkake yeye siyo shoga.
Washiriki wa tendo wote ni mashoga kwa sababu wote wanakuwa wametamaniana.
Mwanamme asiye shoga hawezi kumtamani mwanamme mwenzake, iwe kwenye kumuingilia au kuingiliwa.
Hilo nakukubalia kabisa. Yuko mtu mmoja Dar alijisifia hataki kabisa kusikia habari za mashoga na watu wakamwamini kuwa anapinga kwa nguvu zote ushoga kumbe ni UONGO! Watu wanasukuma ye mwenyewe!Observation inaonyesha kwamba waukataao ushoga kwa sauti kubwa ndiyo huwa mashoga haswa!
Wanachofanya ni ku project walivyo….
Ningeshangaa sana kama ungerudi salamaDisclaimer:
I don’t care what two or more consenting adults do with regard to the choice of lifestyle they want to lead.
Now that we got that out of the way, please make it make sense!
LGBTQ rights are now the sociopolitical hot potato in these neck of the woods [ East Africa].
Raia wanatoa povu balaa. Kila mwenye kujiona ana umuhimu na kila mwenye kudhani akifungua mdomo wake na kutoa kauli, basi watu watamsikiliza, naye anatoa kauli yake ya msimamo wake kuhusu ushoga.
Maoni ya watu ni mengi na ni anuai. Kutoa maoni ni jambo jema kabisa.
Nilichokiona ni kwamba, kauli na sauti za kupinga mapenzi ya jinsia moja, ni nyingi na kubwa.
Ambacho sikielewi, hususan kwa wale wanaopinga hayo mapenzi, upingaji huo unaishia wapi?
Upingaji huo unaanzia na kuishia humu humu ndani ya mipaka ya nchi, au?
Kuna dhana inayoaminika kwamba mataifa ya nchi za magharibi ndiyo yanayo promoti hayo mambo ya ushoga huku kwetu.
Sasa katika kuukataa huo ushoga, inakuwaje kwa mfano, watu waendelee kutumia bidhaa za makampuni ya hizo nchi za magharibi ambayo yanajulikana kupromoti hayo mapenzi?
Mfano, iPhone zinapendwa sana Tanzania. Kampuni inayotengeza hizo bidhaa inajulikana wazi kabisa kuwa ina promoti hayo mambo.
Kampuni ya Apple ina mashoga wengi sana. Kuanzia juu kabisa [CEO] mpaka ngazi za chini, mashoga wapo.
Mtu hapa Tanzania unawezaje kuupinga ushoga kwa nguvu zako zote halafu kwa wakati huo huo utumie bidhaa za kampuni ijulikanayo kuongozwa na shoga bila ya kuwa mnafiki?
Please make it make sense….
Hahahaaa!Hilo nakukubalia kabisa. Yuko mtu mmoja Dar alijisifia hataki kabisa kusikia habari za mashoga na watu wakamwamini kuwa anapinga kwa nguvu zote ushoga kumbe ni UONGO! Watu wanasukuma ye mwenyewe!
Hovyo kabisa.
Kwa hali jins ilivyo SOON tutapigwa reset ya sodoma na gomorah.Mission hizi za Shetani zilianzia mbaali sana, mpaka zinafika hapa leo, mwokozi ni yeye tena aliyezichoma moto Sodoma na Gomola,
Sina hakika iwapo jambo hili litathibitiwa na mwanadamu tena!
Takwimu za uwongo na kweli zinaonyesha, 80%ya wanaume na wanandoa waishio Dar! Wamegonoka na wapenzi wao kinyume na maumbile!
Kuna idadi kubwa sana ya Watanzania walio wajinga [ignorant].Ushoga unapingwa kwenye mitandao na mikutano ya hadhara, yaani kwa midomo, Ila kwa matendo ni tofauti, mashoga wengi hadharani wanapinga ushoga, mfano mdogo hapa kwenye mitandao, ukimuudhi mtu utasikia " nitakuf.. r Mimi, lakini anapinga ushoga!!, au utasikia " we shoga Nini ebu njoo Niku penetrate", lakini huyo mtu anadai anachukia ushoga
Kwa watanzania yule anayeinama ndio shoga, yule anaeingiza ni shujaa!!
Hata mtu akiiba au mkamfumania na kumlawili au kumuingizia chupa nyie wote mna dalili ya ushoga. A straight person hawezi kuwaza adhabu ya aina hiyo.Ushoga unapingwa kwenye mitandao na mikutano ya hadhara, yaani kwa midomo, Ila kwa matendo ni tofauti, mashoga wengi hadharani wanapinga ushoga, mfano mdogo hapa kwenye mitandao, ukimuudhi mtu utasikia " nitakuf.. r Mimi, lakini anapinga ushoga!!, au utasikia " we shoga Nini ebu njoo Niku penetrate", lakini huyo mtu anadai anachukia ushoga
Kwa watanzania yule anayeinama ndio shoga, yule anaeingiza ni shujaa!!
It’s par for the course for Tanzanians.Uwezo wa kukataa vitu vilivyotengenezwa na mshoga hatuna bwana Ngabu ila hilo halizuii sisi kupinga mapenz ya jinsia moja
Watu wanapinga ushoga, sio kampuni wala bidhaa.
Ukisema bidhaa zina promote ushoga naweza kukuelewa kuacha matumizi yake.
Napinha ushoga kwa nguvu zote, mbona k zetu tamu mnataka nini huko mafirauni?
Hivi kupinga style ya kufanya mapenzi ya mtu mzima alieamua kwa hiari yake kufanya na mtu mzima mwenzie ina make sense?Wanaume mkiacha kutifua tope, ushoga utapungua kama si kuisha.
Wanaume wakiendeleza na ushoga unaendelea.
Ushoga na biashara ya ukahaba, zinaendana bila wanaume kuacha hakuna kitu. Tutapiga kelele, tutaacha tumia hizo bidhaa ila hakuna kitu kitabadilika.
Walawi 20:13Hivi kupinga style ya kufanya mapenzi ya mtu mzima alieamua kwa hiari yake kufanya na mtu mzima mwenzie ina make sense?
Englishlady , wanaofanya Oral sex wanatafuta nini mdomoni wakati k zenu ni tamu, hili la kufanya ngono kwa kutumia mdomo mbona halipingwi?
Hapo ndo ujue you are fighting a losing battle!Kwamba tukipinga tususe kutumia na bidhaa zao? hilo sidhani kama linawezekana
Muhimu ni kupinga vile vitu ambavyo vinahamasisha (campaign agenda) kama product ina icon yenye kuwakilisha mach*"*"k then hiyo itapigwa vita
Ila sijaona tatizo kwenye devices kama simu labda watoe yenye rainbow flag ndio nitaona ina make sense