Fibs
JF-Expert Member
- Dec 2, 2017
- 528
- 650
Hivyohivyo ulivyoelezea...3 months ? Hapana aiseee...... au hii 3 months ya aje labda mim sijakuelewa !! Yaan mtu umeshamkubali mmeshaanza kupendana, outing mnatoka ,mnawasiliana ki beb beb afu ndo mje mkulane baada ya miezi 3 ?...... labda unielezee hii 3 months ya aje