Make her feel more than special

Make her feel more than special

Light Saber Imetosha Sasa

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2017
Posts
5,182
Reaction score
9,586
Kwa Wanawake Sex kwao sio kipaumbele kabisaaa. Kama kila muda unapokuwa nae unawaza kumpeleka kitandani tu hauko sahihi my black brother! Labda kama una-date na pizza bandit au slay queen!!

Lakini kama uko na mwanamke sahihi, haitajalisha ni kiasi gani unamfikisha, bado kuna vitu fulani atavi-miss tu kutoka kwako!!!

Kama nia yako ni kumfanya mwanamke wako awe na furaha, basi jitahidi kutengeneza kumbukumbu na yeye. Mpatapo nafasi tembea na yeye ufukweni au sehemu tulivu na ikiwezekana mtake selfie pamoja!

Pika chakula pamoja nae, mshike mkono mnapotembea pamoja! ndio, hata mbele ya ex girlfriends wako, mnyanyue na kumbusu bila hata ya sababu, mshike nywele zake, mnunulie red roses, kaa nae na muangalie pamoja zile Tamthiliya zinazoboa za ZeeWorld na Telemundo huku akiwa amelala kifuani kwako!

Najua kwa black brothers hili haliingii akilini kabisa, lakini kama unampenda main madam wako mfanyie hivyo...kama utamuuliza anataka kula nini na akakwambia 'sijui nile nini' usikasirike...hapo anamaanisha, Wewe ni mfalme, muamulie malikia ale nini...inuka mnunulie au mpikie kile anachopenda kula!

Sio tabu kumteka mwanamke unaempenda, tengeneza kumbukumbu nae..ndio maana black ladies hukumbuka kwa haraka yale mazuri waliyotendewa na wapendwa wao. Hukumbuka kila kitu yaani eneo, tarehe, muda, rangi, hali ya hewa hata uelekeo wa upepo..

Uanaume wako hautahesabiwa kwa kumfikisha keleleni pekee , Infact aometimes ktk hili wanawake hua wana-fake orgasm ili mwanaume asijisikie vibaya! uanaume wako utapimwa kwa namna anavyofikiri kumjali kwako na attention kubwa anayoipata kutoka kwako!! Jaribu kumjali mkeo uone atakavyoifurahia hiyo sex asisite hata kukunyima!!!

Ni rahisi mno na wala sio complicated kuwapenda wife materials!!!

Holla to you wife materials [emoji8][emoji8][emoji8][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji177][emoji177][emoji179][emoji179][emoji179][emoji97][emoji97][emoji170][emoji119][emoji817][emoji817][emoji817][emoji484][emoji484]!!!!
 
Asante kwa ujumbe huu... Wanaume wanaboa kweli... Lijitu linakutongoza na outing ya kwanza tu linataka kukupeleka gesti likale mzigo... Yaaani hapo ushaonesha umeniweka katika level gani!
Yaani saivi ni mwendo wa 3 months rule... Kama huwezi hatukupangiwa kua
 
Teh yan miezi 3 nakusubiri unipe jibu.?
 
Asante kwa ujumbe huu... Wanaume wanaboa kweli... Lijitu linakutongoza na outing ya kwanza tu linataka kukupeleka gesti likale mzigo... Yaaani hapo ushaonesha umeniweka katika level gani!
Yaani saivi ni mwendo wa 3 months rule... Kama huwezi hatukupangiwa kua
Kwa hiyo wakija wale kula usepe kwa masharti yako utaliwa na wanaume wa4 tofauti kila mwaka,
 
Asante kwa ujumbe huu... Wanaume wanaboa kweli... Lijitu linakutongoza na outing ya kwanza tu linataka kukupeleka gesti likale mzigo... Yaaani hapo ushaonesha umeniweka katika level gani!
Yaani saivi ni mwendo wa 3 months rule... Kama huwezi hatukupangiwa kua
Hahaha what 3 month's ah hatuwezi vumiloa hilooo , kitu asubuhi jioni kwa bed
 
Too bad vitu vingine tutaishia kuviona kwenye tamthilia tu na kutamani tufanyiwe ila kumbe black brother Hana hata wazo . Ni vitu vidogo sana vinawafurahisha wanawake na haijalishi umeinvest pesa kiasi gani kwake ila if she feels you don’t care about her or show your love kwa vitendo basi ujue unampoteza...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom