Make her feel more than special

Make her feel more than special

Yan hvo vitu ulivyotaja vyote naweza kuvifanya vizur sana tu, lakin bado nahis kuna ule umwanamke wa mwanamke utabaki vle vle tu. Mfno mi ukiniambia nikuchagulie msos asee naweza kusema nnaopenda mim af wew hupend sas inakuaje apo? Unaeza sema hiki utaskia aaa hik kna mafuta sana kingne. Apo huwa sura inageuka sas mana siwez
 
Thanks kwa kuwafumbua macho,na uwakumbushe kuwa wife material hatuhitaji pesa...uwepo wa mwanaume anayekufanya uishi kama malkia ndo tunachohitaji..hao slay queens ndo wanafake kila kitu,na kuweka pesa mbele kama vile mmetafuta nao[emoji23] [emoji23]
Asanteee
 
Kwa Wanawake Sex kwao sio kipaumbele kabisaaa. Kama kila muda unapokuwa nae unawaza kumpeleka kitandani tu hauko sahihi my black brother! Labda kama una-date na pizza bandit au slay queen!!

Lakini kama uko na mwanamke sahihi, haitajalisha ni kiasi gani unamfikisha, bado kuna vitu fulani atavi-miss tu kutoka kwako!!!

Kama nia yako ni kumfanya mwanamke wako awe na furaha, basi jitahidi kutengeneza kumbukumbu na yeye. Mpatapo nafasi tembea na yeye ufukweni au sehemu tulivu na ikiwezekana mtake selfie pamoja!

Pika chakula pamoja nae, mshike mkono mnapotembea pamoja! ndio, hata mbele ya ex girlfriends wako, mnyanyue na kumbusu bila hata ya sababu, mshike nywele zake, mnunulie red roses, kaa nae na muangalie pamoja zile Tamthiliya zinazoboa za ZeeWorld na Telemundo huku akiwa amelala kifuani kwako!

Najua kwa black brothers hili haliingii akilini kabisa, lakini kama unampenda main madam wako mfanyie hivyo...kama utamuuliza anataka kula nini na akakwambia 'sijui nile nini' usikasirike...hapo anamaanisha, Wewe ni mfalme, muamulie malikia ale nini...inuka mnunulie au mpikie kile anachopenda kula!

Sio tabu kumteka mwanamke unaempenda, tengeneza kumbukumbu nae..ndio maana black ladies hukumbuka kwa haraka yale mazuri waliyotendewa na wapendwa wao. Hukumbuka kila kitu yaani eneo, tarehe, muda, rangi, hali ya hewa hata uelekeo wa upepo..

Uanaume wako hautahesabiwa kwa kumfikisha keleleni pekee , Infact aometimes ktk hili wanawake hua wana-fake orgasm ili mwanaume asijisikie vibaya! uanaume wako utapimwa kwa namna anavyofikiri kumjali kwako na attention kubwa anayoipata kutoka kwako!! Jaribu kumjali mkeo uone atakavyoifurahia hiyo sex asisite hata kukunyima!!!

Ni rahisi mno na wala sio complicated kuwapenda wife materials!!!

Holla to you wife materials [emoji8][emoji8][emoji8][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji177][emoji177][emoji179][emoji179][emoji179][emoji97][emoji97][emoji170][emoji119][emoji817][emoji817][emoji817][emoji484][emoji484]!!!!
Nimeipenda hii kwakweli
 
Asante kwa ujumbe huu... Wanaume wanaboa kweli... Lijitu linakutongoza na outing ya kwanza tu linataka kukupeleka gesti likale mzigo... Yaaani hapo ushaonesha umeniweka katika level gani!
Yaani saivi ni mwendo wa 3 months rule... Kama huwezi hatukupangiwa kua
Bado hujakutana na wanaumee, utakutana nao tuuu,
 
Asante kwa ujumbe huu... Wanaume wanaboa kweli... Lijitu linakutongoza na outing ya kwanza tu linataka kukupeleka gesti likale mzigo... Yaaani hapo ushaonesha umeniweka katika level gani!
Yaani saivi ni mwendo wa 3 months rule... Kama huwezi hatukupangiwa kua
Wakati nakusubiria wewe miezi3 nakuwa natafuna nje kimyakimya!!
 
Mara wengine wanasema mwanaume mashine
Wengine wanasema mwanaume gari
Wengine wanasema mwanaume nyumba!

Najaribu kusoma hiki kitabu hapa chini
book-on-how-to-understand-women0.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom