Make CHADEMA Great Again 2021 ( MACHAGA)

Huu ni mwaka wa kukirudisha chama kikuu cha upinzani Chadema katika viwango vyake kama alivyoiacha Dr Slaa.

Chadema ni wapinzani wa kweli tuwaunge mkono.

Make Chadema Great Again ( Machaga)

Happy New Year.

Maendeleo hayana vyama!
Mkabila zidi wa kiwango wewe.
 
Bwashee Tanzania ni moja vyama vya siasa vitapita lakini Tanzania itabaki!
Mentor wao Antipasu alisikika wakati wa kampeni zake( najua ni wakati wa kazi uchaguzi umeisha ila rejea hii muhimu) akisema si lazima Tanzania iendelee kuwepo! Na hapo ndipo alipokoleza moto wa 'ni yeye' anataka kutuuza kwa mafungu watanzania!

Kwa hiyo mkuu, jitahidi kuwapa darasa watanzania wenzetu hawa ambao wamepotoshwa na wanasiasa uchwara na wabinafsi!
 
kama wewe
 
Great mara ngap, pita apo stend sema pipozzzzz, utajua ipo au aipo..
Afu pita useme ......... Oyeeee uckilize muitiko wake..
 
Machaga? Duh...hata kwa miujiza haiwezekani.
Huu ni mwaka wa kukirudisha chama kikuu cha upinzani CHADEMA katika viwango vyake kama alivyoiacha Dkt. Slaa.

CHADEMA ni wapinzani wa kweli tuwaunge mkono.

Make Chadema Great Again ( Machaga)

Happy New Year.

Maendeleo hayana vyama!
 
Huu ni mwaka wa kukirudisha chama kikuu cha upinzani CHADEMA katika viwango vyake kama alivyoiacha Dkt. Slaa.

CHADEMA ni wapinzani wa kweli tuwaunge mkono.

Make Chadema Great Again ( Machaga)

Happy New Year.

Maendeleo hayana vyama!
Wewe mlevi, mbona unaumia Sana na cdm isiyokuhusu? Yaani ukilala, ukiamka, ukigeuka ni cdm tu as if inakulisha na kukuvesha! Hunaga hoja nyingine zaidi ya cdm?
Anyway, hakuna teuzi mpya ndani ya ccm chakavu kwa Sasa na hata zikiwepo huwezi pewa ni Bora ukageme ulanzi kule kwenu!
 
Huu ni mwaka wa kukirudisha chama kikuu cha upinzani CHADEMA katika viwango vyake kama alivyoiacha Dkt. Slaa.

CHADEMA ni wapinzani wa kweli tuwaunge mkono.

Make Chadema Great Again ( Machaga)

Happy New Year.

Maendeleo hayana vya
Are you a policy maker?
 
Wewe mlevi, mbona unaumia Sana na cdm isiyokuhusu? Yaani ukilala, ukiamka, ukigeuka ni cdm tu as if inakulisha na kukuvesha! Hunaga hoja nyingine zaidi ya cdm?
Anyway, hakuna teuzi mpya ndani ya ccm chakavu kwa Sasa na hata zikiwepo huwezi pewa ni Bora ukageme ulanzi kule kwenu!
Halafu anatunga ufupisho wenye harufu ya ukabila,"MACHAGA"
 
Malizieni tu miaka hii 2,mtateseka sana.
Huu ni mwaka wa kukirudisha chama kikuu cha upinzani CHADEMA katika viwango vyake kama alivyoiacha Dkt. Slaa.

CHADEMA ni wapinzani wa kweli tuwaunge mkono.

Make Chadema Great Again ( Machaga)

Happy New Year.

Maendeleo hayana vyama
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom