johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,528
- Thread starter
- #41
Niko Usseri nagonga mbege kama kawaida.Wewe mlevi, mbona unaumia Sana na cdm isiyokuhusu? Yaani ukilala, ukiamka, ukigeuka ni cdm tu as if inakulisha na kukuvesha! Hunaga hoja nyingine zaidi ya cdm?
Anyway, hakuna teuzi mpya ndani ya ccm chakavu kwa Sasa na hata zikiwepo huwezi pewa ni Bora ukageme ulanzi kule kwenu!
Happy New Year bwashee!