Makato ya matumizi ya ATMs za Benk ya NBC ni makubwa mno

NBC matapeli kuweni makin na bankstement za kila mwezi wanazotuma kwenye email..utagundua wana iba kijanja. eti unakatwa Insurance Premum mara 3 ndani ya mwezi mmoja.. alafu hakuna mahali umeongea nao kuhusu insurance na katika miaka 3 ya kuwa nao sijawahi ona wamenikata mambo ya Insurance. 1,000 mara 3 jumla ,3000 ndan ya mwezi huu wa 11, haya hawakuishia hapo wakaja tena waka nikata Digital access fee mara 3 yaan 1500 x3 =4500 haikutosha wakaja waka nikata tena hela sijui ya nini ukiangalia jumla nimekatwa 7800/= ndani ya mwezi wa 11 , wakati sijawahi fanya online access ya acc yangu hata siku moja wala sina tabia hiyo.. aasa hiyo digital access fee imekatwaje? haya hiyo insurance premium nimekatwaje wakati sija wahi iona katika bank statement zangu hata sikh moja kwa miaka 3 yakuwa nao?
Kuweni makin kuna makato madogo madogo ambayo hii bank inafanya bila kujali mteja atasemaje wala hakuna makubaliano yoyote..huu ni wizi kwa lay man wasio jua.. mm najua ni uonevu na wizi ndio na toa taarifa hapa muwe makin na mabank.. nasubiria nirudi uko dar nije kuifunga acc staki tena kusikia hii laana ya NBC wachez na wajinga wengine siyo mimi
 
Jee hukuiwacha akaunti kwa muda mrefu bila ya matumizi na balance ya kutosha? Pengine ulipoweka hela wali compensate makato ya miezi mingine ya nyuma...
Hio Insurance wanasema ni kwa manufaa ya baadae, utalipwa endapo umepata matatizo ya kiafya kama ajali au kuumia, unaclaim na wanakulipa milioni kadhaa, pia mteja akifariki watu wake wanapeleka claims za mirathi bank kunakuwa na inalipwa, kama sikosei 1M au zaidi
 
Back
Top Bottom