Makato ya matumizi ya ATMs za Benk ya NBC ni makubwa mno

Nakukoma kwa vichambo leoo mbonaa...nimenyoooka baba

Nadhani effect pia ya kutumia sm accounts ambazo zina free charges hapo unakua hujui wanakata bei gani
Si kweli hata kwenye sim banking baada ya kufanya muamala,taarifa inakuja kwa njia mfupi ikionesha na makato uliyokatwa kwa ajili ya huo muamala

Bisha na hii,niweke screenshot
 
Crdb ndiko mtu hanishawishi hata kidogo. Kuna jamaa yangu alifungua akaunt huko ili alipwe posho fulani (150000). Akashawishiwa na wenzake afungue crdb ndiko Safi. Jamaa ile hela ilipoingia akaiacha ikae na akawa anaweka kdgkdg anakadiria kama 200+. Baada ya miezi mitatu anaenda kutoa 50000 inagoma 😲 akajaribu tena ikagoma. Alikuwa na risiti zinazoonesha miamala ya kuweka na huo wa kutoa alitoa 23000/ tu kati ya laki mbili na ushee. Aliemda huduma kwa wateja wakamwambia kuna makato ya kuendesha akaunt kwa kila mwezi sijui 10000, jamaa akawauliza pesa nyingine, wakamwambia haionekani kwenye system. Anadai alivunja kadi yao palepale na hakuwahi kurudi. Inauma sana
 
Crdb ndiko mtu hanishawishi hata kidogo. Kuna jamaa yangu alifungua akaunt huko ili alipwe posho fulani (150000). Akashawishiwa na wenzake afungue crdb ndiko Safi. Jamaa ile hela ilipoingia akaiacha ikae na akawa anaweka kdgkdg anakadiria kama 200+. Baada ya miezi mitatu anaenda kutoa 50000 inagoma akajaribu tena ikagoma. Alikuwa na risiti zinazoonesha miamala ya kuweka na huo wa kutoa alitoa 23000/ tu kati ya laki mbili na ushee. Aliemda huduma kwa wateja wakamwambia kuna makato ya kuendesha akaunt kwa kila mwezi sijui 10000, jamaa akawauliza pesa nyingine, wakamwambia haionekani kwenye system. Anadai alivunja kadi yao palepale na hakuwahi kurudi. Inauma sana
Sio CRDB tuu kila bank ina makato yake.

Tatizo sio bank ila tatizo lipo kwa wateja wenyewe..!!

Mtu anaenda bank hajui anataka nini.

Ila cha kutambua kuna Account aina 3 zenye makato na zisizo na makato.

1. Current account
2. Investment account
3. Saving account.

Sasa unaenda bank UNASHIDA GANI NA HUDUMA GANI?

#YNWA


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio CRDB tuu kila bank ina makato yake.

Tatizo sio bank ila tatizo lipo kwa wateja wenyewe..!!

Mtu anaenda bank hajui anataka nini.

Ila cha kutambua kuna Account aina 3 zenye makato na zisizo na makato.

1. Current account
2. Investment account
3. Saving account.

Sasa unaenda bank UNASHIDA GANI NA HUDUMA GANI?

#YNWA


Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamujibu wa vielelezo, alitungua saving account. Hata kama ingekuwa nn, wanadai wanakata 10000 kwamwezi, alikaa miezi mitatu. Akatoa 23000 kati ya lakimbili na ushee, hesabu ya aina gani hii. Ama ndio kusema wanakata kwakutumia aljebra
 
Back
Top Bottom