Makato ya matumizi ya ATMs za Benk ya NBC ni makubwa mno

Fungua akaunti Barclays Bank kwa Tanzania ndo bank bora kwasababu ukifungua akaunti unapata hapo hapo akaunt namba pamoja na visa card bure lakini pia services zao ziko very standard kwa mfano atm charges ni 1100tshs na saving account haina makato ya mwezi achana na wababaishaji kama sijui chapchap na crdb security ya pesa yako haipo
 
hakuna bank nafuu kama NBC, ukiwa na 7000 kwenye akaunti, ukitaka kutoa 5000 kwenye ATM inakubali, lakini CRDB na NMB inakataa, na hiyo nimethibitisha,
 
Karibu Stanbic bank mkuu, hawa jamaa customer care yake unaweza kujiona kama mfalme fulani hiviii.
 
Mimi ni mteja wa NBC na jana nilitoa pesa kupitia ATM zao za pale Shoppers Mikocheni jijini Dar.

Nilitoa laki 4 mara 2 yani miamala miwili chakushangaza wamenikata elfu 3 kwa kila muamala jumla elfu

Bank ya dini hiyo labda hujatoa zaka kwa muda mrefu
 
Mimi ni mteja wa NBC na jana nilitoa pesa kupitia ATM zao za pale Shoppers Mikocheni jijini Dar.

Nilitoa laki 4 mara 2 yani miamala miwili chakushangaza wamenikata elfu 3 kwa kila muamala jumla elfu 6

Hii kwenu ikoje wadau na nimewapigia customers care yao mara 2 sijapata majibu yalionyooka zaidi ya kuishia kukatiwa simu kwa ahadi ya kupigiwa tena badae ila kimya hadi sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye laki nane elfu tano unaona nyingi?si uhame tu,hamia mkombozi bank utakufa kwa presha
 
CRDB is the best Bank hapa TZ kwa sasa to be honest

Labda na NMB
Ila mi ni loyal customer wa CRDB
Internationally naikubali Standard Chartered
Nazipenda hizo mbili (CRDB na NMB) pia financially ni bank ambazo ziko stable na zina wateja waaminifu wengi sana. Nina account ktk benki zote hizo mbili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ATM cards na mashine zake ni miradi ya watu... Ni biashara inayolipa sana halafu haikatwi kodi
Mimi ni mteja wa NBC na jana nilitoa pesa kupitia ATM zao za pale Shoppers Mikocheni jijini Dar.

Nilitoa laki 4 mara 2 yani miamala miwili chakushangaza wamenikata elfu 3 kwa kila muamala jumla elfu 6

Hii kwenu ikoje wadau na nimewapigia customers care yao mara 2 sijapata majibu yalionyooka zaidi ya kuishia kukatiwa simu kwa ahadi ya kupigiwa tena badae ila kimya hadi sasa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fungua akaunti Barclays Bank kwa Tanzania ndo bank bora kwasababu ukifungua akaunti unapata hapo hapo akaunt namba pamoja na visa card bure lakini pia services zao ziko very standard kwa mfano atm charges ni 1100tshs na saving account haina makato ya mwezi achana na wababaishaji kama sijui chapchap na crdb security ya pesa yako haipo
Natumia nmb mwaka wa nne huu na sijawahi kujuta.
 
Kwa hapa mjini ni afadhali kukomaa na NMB, CRDB, NBC. Kila unapotembea unakuta angalau kuna huduma za kibenki. Kuna benki zina huduma nzuri sana sema hakuna matawi mengi wala mawakala.
Bank nyingine ukitaka kudeposit au kuwidhraw mpaka upande daladala
 
Mimi natumia CRDB na NMB ila cha moto nakiona CRDB jamaa wana makato balaa huwa nasoma taarifa zako za pesa kwenye gazeti roho huwa inaniuma ila ndio ntafanyaje
 
Mimi ni mteja wa NBC na jana nilitoa pesa kupitia ATM zao za pale Shoppers Mikocheni jijini Dar.

Nilitoa laki 4 mara 2 yani miamala miwili chakushangaza wamenikata elfu 3 kwa kila muamala jumla elfu 6

Hii kwenu ikoje wadau na nimewapigia customers care yao mara 2 sijapata majibu yalionyooka zaidi ya kuishia kukatiwa simu kwa ahadi ya kupigiwa tena badae ila kimya hadi sasa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sasa mkuu, hizi benki ni lazima zijiendeshe kwa fedha kidogo za makato kama hizo.

Unataka benki hizi zijiendehse na fedha zipi?

3000 kwa kila muamala ni ndogo sana.
 
Mimi natumia CRDB na NMB ila cha moto nakiona CRDB jamaa wana makato balaa huwa nasoma taarifa zako za pesa kwenye gazeti roho huwa inaniuma ila ndio ntafanyaje

Hizo ndizo fedha zinazotumika kuendesha hizi benki.

Moija ya mambo hayo ya uendeshaji ni kuhakikisha wewe unapata huduma za ATM kila unapohitaji.

Mimi nina akaunti na hizo benki na wananikata maintenance na makato kwa kila muamala ninaoufanya.

Lakini naona ni sawa tu kwani Akiba iliyopo haiathiriki sana.

Bila hivyo hakuna jinsi ingine ya kupata fedha za uendeshaji.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom