Unaplan ya kwenda kuhiji?Mkuu una uzoefu wowote wa amana bank,maana kuna mtu ananishawishi nihamie huko kwa kuwa hawana makato makubwa
Mimi ni mteja wa NBC na jana nilitoa pesa kupitia ATM zao za pale Shoppers Mikocheni jijini Dar.
Nilitoa laki 4 mara 2 yani miamala miwili chakushangaza wamenikata elfu 3 kwa kila muamala jumla elfu
Kwenye laki nane elfu tano unaona nyingi?si uhame tu,hamia mkombozi bank utakufa kwa preshaMimi ni mteja wa NBC na jana nilitoa pesa kupitia ATM zao za pale Shoppers Mikocheni jijini Dar.
Nilitoa laki 4 mara 2 yani miamala miwili chakushangaza wamenikata elfu 3 kwa kila muamala jumla elfu 6
Hii kwenu ikoje wadau na nimewapigia customers care yao mara 2 sijapata majibu yalionyooka zaidi ya kuishia kukatiwa simu kwa ahadi ya kupigiwa tena badae ila kimya hadi sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nazipenda hizo mbili (CRDB na NMB) pia financially ni bank ambazo ziko stable na zina wateja waaminifu wengi sana. Nina account ktk benki zote hizo mbili.CRDB is the best Bank hapa TZ kwa sasa to be honest
Labda na NMB
Ila mi ni loyal customer wa CRDB
Internationally naikubali Standard Chartered
Alizira kimoja, hataki hata kuisikiaSi angeomba statement ya hio akaunti?.
Mimi ni mteja wa NBC na jana nilitoa pesa kupitia ATM zao za pale Shoppers Mikocheni jijini Dar.
Nilitoa laki 4 mara 2 yani miamala miwili chakushangaza wamenikata elfu 3 kwa kila muamala jumla elfu 6
Hii kwenu ikoje wadau na nimewapigia customers care yao mara 2 sijapata majibu yalionyooka zaidi ya kuishia kukatiwa simu kwa ahadi ya kupigiwa tena badae ila kimya hadi sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok, ukimaliza kuinywa nenda kashushie na kahawa kuhusu makampuni ya simu.Chai
Natumia nmb mwaka wa nne huu na sijawahi kujuta.Fungua akaunti Barclays Bank kwa Tanzania ndo bank bora kwasababu ukifungua akaunti unapata hapo hapo akaunt namba pamoja na visa card bure lakini pia services zao ziko very standard kwa mfano atm charges ni 1100tshs na saving account haina makato ya mwezi achana na wababaishaji kama sijui chapchap na crdb security ya pesa yako haipo
Hujawahi kujuta kwasababu hujaangaika kutumia channels zingine Bank kama Barclays unadeposit hela 24hrs kwenye depository atms huna haja ya kwenda sijui kwa wakala na kingine unapata huduma ya free sms katika kila transactions unazofanya wakati nmb wanachaji 350+Natumia nmb mwaka wa nne huu na sijawahi kujuta.
Nahitaji KISERIUOS..!!!Naona unaelekea kula tunda kimasihara
Mimi ni mteja wa NBC na jana nilitoa pesa kupitia ATM zao za pale Shoppers Mikocheni jijini Dar.
Nilitoa laki 4 mara 2 yani miamala miwili chakushangaza wamenikata elfu 3 kwa kila muamala jumla elfu 6
Hii kwenu ikoje wadau na nimewapigia customers care yao mara 2 sijapata majibu yalionyooka zaidi ya kuishia kukatiwa simu kwa ahadi ya kupigiwa tena badae ila kimya hadi sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi natumia CRDB na NMB ila cha moto nakiona CRDB jamaa wana makato balaa huwa nasoma taarifa zako za pesa kwenye gazeti roho huwa inaniuma ila ndio ntafanyaje
Kuangalia Salio simbanking wananikata elfu 5, nawaza kuwahama crdbNjoo CRDB
ATM charge nadhani ni sh 700 kama sijakosea
Simbanking kuangalia salio wanakata 5000CRDB kuangalia salio buree, NMB 350.