Tanzania kuna mambo. Mtungi mpya wa kuzimia moto wa gari langu unauzwa Tsh 25000. Lakini ada yake ni TSH 40,000. WIZI MTUPU...!
Wana jf naomba kufahamu kwa anayejua, yale malipo ya fire ya kati ya 30,000 had 50,000 yanayofanyika wakati wa kulipia road licence yapo kwenye bajeti? na je huwa kuna taarifa yoyote juu ya hayo makusanyo
Nilitaka kujua tu kama lipo kama njia mojawapo ya mapato ya serikali maana hata stika za nenda kwa usalama nao ni wizi mtupu sasa hili la fire ni pesa nene je inakwenda wapiserikali dhalimu hii, kuna haja gani kumtoza mtu hiki kiasi ilhali magari yetu yana comprehensive, 3rd part covering fire and theft etc? wizi mtupu, na sijui hizi kodi zingine zinapitishwa wapi na je wabunge wetu wanalijua hili? mbona mnakaa kimya??
Inaitwa fire inspection fee ada ya ukaguzi kwa maswala ya moto...si gharama ya kununulia mtungi unapaswa ndani ya week moja baada ya kupata licence yako uende ofisi za fire kwa ajili. Ya ukaguzi na upewe stika bure...
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Stika za nini kama nimelipa fee ya ukaguzi, au ni kutambulisha kuwa nina tungi lililokaguliwa? Kama wakiona haliwezi kuzima moto inabidi nitoe fedha ingine kununua tungi jipya?Inaitwa fire inspection fee ada ya ukaguzi kwa maswala ya moto...si gharama ya kununulia mtungi unapaswa ndani ya week moja baada ya kupata licence yako uende ofisi za fire kwa ajili. Ya ukaguzi na upewe stika bure...
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Tanzania kuna mambo. Mtungi mpya wa kuzimia moto wa gari langu unauzwa Tsh 25000. Lakini ada yake ni TSH 40,000. WIZI MTUPU...!
..Mtungi unanunua mwenyewe ile ni ada ya ukaguzi kama una kumbukumbu nzuri kabla ya utaratibu huu kulikuwa na utaratibu wa kulipa 5000 kwa saloon cars na 20,000 kwa station wagon(nisahihishe kwenye hizo tozo) kwa ajili ya kupewa stiker na kama hauna mtungi unauziwa pia...Stika za nini kama nimelipa fee ya ukaguzi, au ni kutambulisha kuwa nina tungi lililokaguliwa? Kama wakiona haliwezi kuzima moto inabidi nitoe fedha ingine kununua tungi jipya?
Kwani ukilipia hiyo ada ya fire inspection wanakupa mtungi wa kuzimia moto? Ni wizi mtupu na sijui kwa nini wabunge hawaulizi hizo pesa zinatumikaje na zinakwenda wapi? Usikute tunachangia chama fulani? Hizo pesa za fire inspection tunazolipa kwenye budget hazimo kabisa? Hili suala tuliwahi kulizungumzia kwa kina hapa JF lakini hatukufikia muafaka wowote, kama kawaida ya Watanzania, ni kulalamika tu lakini hatuchukui hatua. Naona wamekwenda hatua moja zaidi wanalipa kwa bankslip mbili tofauti, last year nilizilipa kwa bankslip moja. Ukiwauliza pale TRA hiyo pesa ni ya nini hawakupi maelezo yoyote yanayoeleweka. Tatizo ni kwamba huwezi kukataa kulipa kwa kuwa imeunganishwa na road licence.
TRA watupe maelezo hizo pesa ni za nini hasa!!!!
Tiba

kuna watu wa zimamoto na uokoaji, wanapita maofisini na fomu za kujaza kwa ajili ya cerfiticate za fire za maofisi, je mwalijua hili? mimi nina ki fremu kimoja hapa kariakoo wamemiambia natakiwa kulipia 100,000..! Je tunakwenda wapi?