Makasisi weusi na utajiri wao wa kutisha

Zinduna, kuna yule mmoja juzi amezindua mchongo wa kununulia private jet yake ya thamani ya $65m....

Nani huyo, mwaga ubuyu mkuu...! Mengi na Baresa ni matajiri wakubwa wa Bongo lakini hawana hata Chopper..!
 
Last edited by a moderator:
Majuzi Creflo Dollar eti kaomba waumini wake wanaofikia laki mbili kila mmoja amchangie dola 300 ili aweze kununua ndege binafsi inayogharimu dola milioni 65!

Ama kweli wajinga ndo waliwao!

unatamka mwenyewe kuwa kaomba..na isitoshe katoa na sababu ya kuomba..kwamba anataka afanyeje na hiyo hela..meaning ukiona sababu sio nzuri unaweza usitoe..then aliyeamua kutoa baada ya kuombwa hana ujinga wowote..tatizo lenu waswahili huwa mnadhani you have all the answers!!
 
Wajinga ndiyo waliwao,kibaya zaidi wanakula pesa mpaka wake za waumini
 
Mahusiano?..........Mapenzi?............Urafiki?................Udini?
 
unatamka mwenyewe kuwa kaomba..na isitoshe katoa na sababu ya kuomba..kwamba anataka afanyeje na hiyo hela..meaning ukiona sababu sio nzuri unaweza usitoe..then aliyeamua kutoa baada ya kuombwa hana ujinga wowote..tatizo lenu waswahili huwa mnadhani you have all the answers!!

Watakaotoa ni wajinga na huo ndo mtazamo wangu.
 
Ni adhehebu gani yanaongoxa kuwa nahosptali,vyuo au shule kati ya wakristo na waislam?

sisi tuna mashule mengi sanaaa; Madrasat al-noor, madrasat al-mujjibb, madrasat et cetera et cetera, mashule na vyuo vinaendana na hizo madrasat...hospitali zetu we leta nazi tunaichora maandishi ya kiarabu unaweka chini ya uvungu utapona...tuna maabara za kutengeneza majini na mashetani...na ukujichanganya nakusoimea albadir unakauka kama mti wa kiangazi...ukijichanganya zaidi namuita mtu mmoja aliyefuzu mafunzo yetu anakukuta sehemu na kukulipua na yeye anakufa...wale watakaokuwa na kiherehere cha kuwa jirani na wewe eneo moja...hiyo ni collateral damage mimi hainihusu..kinachonihusu ni kupata free-pass ya peponi mi na familia yangu, kuepushwa adhabu ya kila mja kaburini na kupewa mahururain 70 huko mbinguni/peponi (I hope na box la condom)
 
Wajinga ndiyo waliwao,kibaya zaidi wanakula pesa mpaka wake za waumini

bora hao..kuna mtume mmoja aliwahi kumshauri binamu yake ampige chini mkewe na baada ya ndoa kuvunjika akamuoa huyo mwanamke!!!!
 
Haina haja ya kutoa puvu lote hili

hawa jamaa wanawakamua waumini.....utajiri uliopitiliza na waumini wanabakia masikini

kweli wanachunga kondoo na kuwakamua kamuuu...

mchungaji uchwara kama Ishmael atakuwa multi millionaire huyu kwa kukamua tu kondoo
 
Last edited by a moderator:
bora hao..kuna mtume mmoja aliwahi kumshauri binamu yake ampige chini mkewe na baada ya ndoa kuvunjika akamuoa huyo mwanamke!!!!

baadhi ya unao waquote ni wakristo wenzako lakini sio walokole

wachungaji wote hawa ni walokole na mathehebu mengine ya kikristo yanapingana na hali hii ya kukamua kondoo we unahangaika na waislamu

chukua hatua zinduka.....acha u.j.i.n.g.a
 
isome tena hiyo post unionyeshe nilipotaja waislam...narudia ..bora hao kuna mtume mmoja aliwahi kushauri binamu yake ampige chini mkewe na baada ya ndoa kuvunjika akamuoa huyo mwanamake..need some glasses, punky?
 
Back
Top Bottom