We mzee kuna ujumbe wako huku View attachment 1204670
Hahahha binamu bwana.....aisee, kanikumbusha mbali sana huyu Mia.
Mabaharia wanajua namaanisha nini
Heshima yako bahariaHawanipati
Hata mm sijui binamu Ila kila kona nasikia watu wanaitana baharia labda tusubiri wanazengo watuambie nani ndo baharia.....baharia ndo nani!? Maana wengine baharia kambale kuongelea kwenye maji na tope
Kumbe na ww baharia binamu.....aisee, kanikumbusha mbali sana huyu Mia.
Mabaharia wanajua namaanisha nini
Hivi ukinimis huwa unapotelea wapi