10/
Mary & John Jonas
Nimeitafuta picha ya familia yao sijaipata zaidi ya vielelezo tu
Hawa wakiishi miaka ya 1800 huko
Walibahatika kupata
Watoto 33 ikiwemo pea 15 za mapacha wa kike na kiume
Baadhi walifariki utotoni huku wengine wakifikia uzeeni
Watoto 10 walikuwa hai wakati dingi wao akifariki mwaka 1892
Nary alifariki mwaka 1899
.......