7. Sheffield United Vs Sheffield Wednesday ( Steel City Derby )
Inajulikana pia kama
Sheffield Derby inazikutanisha timu hizi zinazotoka sehemu ya Sheffield. Mechi hii inajulikana pia kama mechi ya ukarimu, mechi ya marafiki kwani kuna idadi kubwa sana ya wachezaji na makocha waliowahi kufanya kazi katika timu zote mbili. Japo kuna muda mechi huwa na utata na rabsha za hapa na pale.